Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,147
- 26,475
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote.
2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa pande zte, yaani kulia na kushoto kutafuta abiria, ukipiga honi hawapishi maana huna la kuwafanya.
3. Akina Dada hasa weekend wakitoka na familia , wanaendesha speed 5, sijui kama walifundishwa ni kosa.
4. Kupaki kwenye koda huwa haifundishwi driving school na watu wengi hawajui , laikini hapa , je wanaojenga vibanda chips na magenge kwenye v blind sport nao ni sawa?
5. Wanoweka mabango ya matangazo ya Saluni , Dalali Mwanamke, Boss Kwezi tapeli wa viwanja, mitume na manabii wanaziba road wao ni sawa?
USHAURI KWA POLISI NA TRA: