Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,290
- 26,766
Polisi mnafanya kazi njema, TRA mnasaidia kukusanya mapato.
1. Polisi, kwa kushirikiana na TRA tunaomba kanuni za kulazimisha Pikipiki zote na Bajaji na Maguta kuweka plate number kwa mbele, yaani si nyuma pekee ili wakimkosea traffick aweze kunakili.
2. polisi na TRA tunaomba mfikirie hizi guta za Basikeli, ndizo unakuta mtu kapakia ndizi toka mabibo sokoni anenda Posta, anaweka foleni kubwa kuliko na hakuna anayehoji, zipigwe marufuku barabara kuu.
3. Bajaj na Pikipiki zisiruhusiwe service road, hawa jamaa wansababisha ajali.
4. Pikipiki zote za kariako na mitaani, zile za umeme hazisajiliwi kwaamna sheria inasema chombo cha moto wakati kile si cha moto, sasa kanuni zibadilishwe nazo zisajiliwe.