Usugu wa dawa hali hii hutokea pale dawa flani inaposhindwa kutibu ugonjwa husika mfano unapimwa una Malaria ya kawaida not severe ila unapewa dawa ya mseto ambayo ni first line na dawa inashindwa...
Pole sana ndg yetu kwa hilo janga lilikupata la ugonjwa wa kansa, magonjwa ni ya kwetu sote sisi binadamu na maisha ni mzunguko.
Please usikate tamaa kiasi hicho maisha huwa yanakupa second...
Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni ,
1.Muhoozi Kainerugaba
2.Patrice Rwambogo
3.Natasha Museven Karugire
Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka...
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha
Habari wana JF,
Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imemsimamisha kufanya kazi ya uwakili kwa kipindi cha miezi sita Wakili Johnson Kachenje, baada ya kubainika kunukuu katika hoja zake hukumu za...
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Lorna ni miongoni mwa wanawake...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema zaidi ya wadau wa sekta ya afya 3000 kutoka nchi mbalimbali Duniani...
Kuna kipindi kwenye maisha unakaa kimya na kujiuliza, “Hivi kweli nilifikaje hapa nilipo?”
Wengine wanaona tabasamu lako na kudhani kila kitu kiko sawa. Hawajui ni vita vingapi umepitia kimya...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais...
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno...
A former Catholic priest in Kenya, Father Sandro Ferretto has officially renounced the priesthood and wed his partner, Sharon Jepngok, in Baringo South.
The Italian-born former cleric previously...
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko...
Habari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na...
Mfanyabiashara raia wa Uingereza na Nigeria, pamoja na influencer wa mitandao ya kijamii ambaye pia ni rafiki wa Davido, Igho Tiny Ubiribo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya...
Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko.
Ila tukirudi na uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.