Calender na mahusiano

Calender na mahusiano

Joined
Aug 20, 2026
Posts
34
Reaction score
46
Habari wakuu,

Kalenda ya kuzaliwa imebeba uhalisia wa maisha yetu kwa ujumla, kila usichojua kuhusu wewe unaweza kukijua kupitia calendar yako ya kuzaliwa.

Calendar ya kuzaliwa ni code ya siri zote kuhusu maisha yetu, kupitia aina 3 za calendar (right, left & mini calendar) ni rahisi kujua watu sahih wa kuambatana nao ktk safari ya upendo, urafiki, kazi na nk...

CALENDAR FORMULA
Right+right=correct relation
Right+min=correct relation
Right+left=incorrect relation
Left+left=correct relation
Mini+mini=correct relation
Mini+left/right=correct relation.

MIFANO YA MAHUSIANO SAHIHI KWA MUJIBU WA CALENDAR

Davido & chioma(left+left)
Jay z & Beyonce(right+right calendar)
Diamond & zuchu(right+mini)
Leonel mess & Antonella(right+right)
Ronaldo & georgina(left+left)
 
Calendar haina ubashiri Bali ni code ya uhalisia wako, pia haina masharti Bali inakupa wasaa was kujitambua wewe ni nani naturally kutokana na calendar yako ya kuzaliwa
Nilidhani vinaingiliana na mambo ya nyota

Kama una nafasi jaribu kufafanua zaidi kwa kuandika tarehe za mwezi mzima kwa Kila mwezi husika, ili somo lieleweke
 
Uongo mtupu..
Kuna kipindi niliaminishwa kuna Twin flames au soul mates..

Aisee niliteseka sana na limtu ambalo hata halikuwa tuna vitu common
 
Nilidhani vinaingiliana na mambo ya nyota

Kama una nafasi jaribu kufafanua zaidi kwa kuandika tarehe za mwezi mzima kwa Kila mwezi husika, ili somo lieleweke
Kuna mada inaitwa ijue calendar yako ifuatilie ujifunze inavyork kisha uangalie calendar yako na wanafamilia
 
Uongo mtupu..
Kuna kipindi niliaminishwa kuna Twin flames au soul mates..

Aisee niliteseka sana na limtu ambalo hata halikuwa tuna vitu common
Wala si uongo, calendar inakupa reality kuanzia Tabia zako, vipawa vyako na destination yako, hivo ni jambo la kijifunza tu kuitumia
 
Maswala yako ya calendar ni unajimu ambayo ni ushirikina kwa Imani yangu, wewe dini gani?
Unachanganya mambo mkuu, calendar no knowledge ya kuujua uhalisia wako.

Pia ujue kila kitu kinaongozwa na formula hivo calendar yako ya kuzaliwa ndo formula ya kuujua uhalisia wako
 
Back
Top Bottom