Kwamba mungu amepiga OFU TAGETI?

Kwamba mungu amepiga OFU TAGETI?

Hii game ngumu mashabik wanafurahia off target
 
Mwalimu wa set piece anahitajika sana kwa play maker wetu "israel" haiwezekani kila set piece anayowekewa na sirgod yeye anapaisha
 
kuna nini huku bongo mi ndo nimetokea S.A bado sijaelewa code zenu
Vipi wewe umebahatika kua na meno yote 32, maana wote wanaotoka South Africa dental formula zimesambaratika wana meno 15 maximum 😀 😀 😀 😀 😀
 
Vijana wanashangili kwa offtarget iliyopatikana sijui itakuaje siku ikiwa on target
ACHENI ROHO MBAYA , MZEE WA WATU HANA BAYA , ALIKUWA SI MTU WA KUJITOKEZA, KAISHI NA WATANZANIA VYEMA , TUMUACHE APUMZIKE KWA AMANI
 
Back
Top Bottom