03 Mei, 2026
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza kifo cha mtu ambaye tarehe 30 Aprili, 2026 saa 09:00 Alasiri mwili wake ulikutwa unaelea kwenye maji...
Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake...
Mwili wa James Temba aliyepotea siku kadhaa umeokotwa katika mto Msimbazi Dar es Salaam ukiwa hauna kichwa.
Wakuu! Huu ukatili umepitiliza,, nini kipo nyuma ya pazia?!
James Temba ni ndugu wa...
Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana.
Umuhimu wake kwa Soko la Ndani:
1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania
Ukweli mchungu...
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na...
A port that can accommodate an 8,000-TEU vessel instead of a 4,000-TEU vessel has fundamentally different possibilities for regional trade. Tanzania is expanding the scale at which its maritime...
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri...
Binafsi unajisikia furaha sana...
I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia
Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile.
2: Wazee wa...
Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara.
Kwa wastani, tunapata...
Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani.
Kulingana na ripoti mpya...
Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System).
Kwa mujibu wa Kifungu cha 31...
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU),Balozi Anda Filip, amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia jana kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa 153 wa IPU unaotarajia kufanyika jijini Arusha...
Hello Great Thinker....
Namtafuta rafiki yangu humu, ...anapenda konyagi sana, alinambia atanipa(.....) kila mtoto ana baba yake.
Mopak
Nakuita Mopak uje kwa YESU Utubu....
Yeye ni mwenye...
Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari.
Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu...
Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA?
Je inatambuliwa na mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.