Video: Mzee Zorro hali yake ki afya haiko sawa

Video: Mzee Zorro hali yake ki afya haiko sawa

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,578
Reaction score
29,455
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.​
Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.

Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.

Mbona anaumwa kitambo tu hali yake kiafya si nzuri, labda mje na update anaendeleaje
 
Alifanya kosa kubwa kupokea hela za Samia
Kila kitu siasani, Mwanamuziki hana upande, Ccm damu wala ACT damu hivyo hivyo kwa Mwanamichezo hawana upande hakuna mambo ya Simba/ Yanga damu....Yeyote anayekuja mkikubaliana terms tu mnafanya kazi, cha msingi usiwakwaze upande mwingine...
 
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.​
Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.

Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.

In fact,
mzee ameugua kwa muda mrefu kidogo lakini, hajawahi kua unyonge, bali daima amekua jasiri katika kujieleza openly kinachomsumbua.

Jambo la faraja na la kipekee sana kwa mzee huyu mcheshi, licha ya hali aliyonayo, haonyeshi dalili ya kukata tamaa wala kuogopa, daima amekua mwenye Imani kwa Mungu, mwenye furaha, mstahilivu na mwenye subra, huku akiwa na uhakika ya kwamba siku moja atapata nafuu kubwa zaidi na kupona kabisa changamoto ya afya inayomkabili.

Mzee wangu Ali Zahiri Zorro,
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kupata nafuu ya afya yako na hatimae kupona kabisa.

Aimen 🙏
 
Back
Top Bottom