AUWSA ARUSHA..tangu mwezi wa Tano hawajashughulikia Bomba la Maji lililopasuka Kata ya Oloiren Mwanama Reli na Maji kuharibu barabara. Hali ni mbaya sana sasa.
wanasafisha mji kwanza!AUWSA ARUSHA..tangu mwezi wa Tano hawajashughulikia Bomba la Maji lililopasuka Kata ya Oloiren Mwanama Reli na Maji kuharibu barabara. Hali ni mbaya sana sasa.