Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata...
5 Reactions
36 Replies
430 Views
Habari za muda huu wakuu. Nilikua najiuliza, Je,kuna ulazima gani wa Traffic kusimamisha magari kwenye foleni ili kupisha misafara ya viongozi kwa muda mrefu? Yani unakuta gari zinasimamishwa kwa...
2 Reactions
11 Replies
96 Views
Wale watu wa Magharibi hawajui maana ya haya maneno ya Mashariki. Deva ni mungu mwanaume na devi ni mungu mwanamke. Lakini watu wa Magharibi utawasikia wanasema deva Rihanna au deva Beyonce...
3 Reactions
1 Replies
67 Views
Wakuu habari ya kazi viongozi Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora" Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie...
4 Reactions
5 Replies
113 Views
Mazingira ya vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) yanatisha. Hapa ndipo Wachungaji wa KKKT tumekuja kufanyia mkutano wetu kitaifa! Mimi kama Mchungaji nilijisikia vibaya sana na hasa nilipoona...
3 Reactions
38 Replies
530 Views
Kama hujui, basi habari ya mjini ndio hii: mauzo ya Biblia yanaendelea kupanda kwa kiwango cha kushangaza duniani kote. Kwa mujibu wa ripoti ya Global Bible Society (2024), zaidi ya nakala milioni...
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Biblia ilitabiri zamani sana kuhusu siku tunazoishi leo. Katika Danieli 12:4 imeandikwa: “Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho. Wengi wataenda...
16 Reactions
46 Replies
860 Views
Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu...
3 Reactions
17 Replies
158 Views
Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!! Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri...
2 Reactions
8 Replies
682 Views
Tumelipia vifurushi vya mwezi lakini kila siku wanakata mtandao na kutuomba radhi lakini hakuna fidia juu ya muda wetu unaopita bila huduma Kiukweli wateja wa Airtel tunaumizwa sana
1 Reactions
11 Replies
132 Views
Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo: Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome...
8 Reactions
115 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Kata hiyo kuhamasishana na kushiriki kikamilifu katika suala zima la usafi wa mazingira na...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa... Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba...
7 Reactions
46 Replies
247 Views
Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪 Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa ...
12 Reactions
35 Replies
546 Views
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa...
40 Reactions
224 Replies
3K Views
Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
Baada ya kuwatapeli bandari zenu, nimefanya biashara kwa mafanikio na kutengeneza faida ya shilingi laki saba za kitanzania. Nahitaji mtu anayeuza gari lake aniuzie kwa bei hiyo. Kuliko kukaa na...
10 Reactions
18 Replies
382 Views
Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook. Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x 🤔 Wewe nnje namambo yako ya msingi...
4 Reactions
15 Replies
241 Views
Mkazi wa Kijiji cha Bukombe, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, anayejulikana kwa jina la Power Mabula, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa ana uwezo wa kuzuia mafuriko, mvua kubwa pamoja na...
5 Reactions
18 Replies
302 Views
Back
Top Bottom