Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 21
- 31
Baada ya kifo mwili wa mwanadamu hukauka na kuwa mgumu kabisa. kama mwili wa mwanadamu haujahifadhiwa vizuri mchakato wa kuoza huanza saa 24 baada ya kifo kutokea. mazingira ya joto huchangia mwili kuoza haraka.tumbo hupasuka na kuachilia harufu ambayo husababisha decomposer kuanza. mwili hutokewa na madudu meupe na kuanza kuila mabaki yale mpaka mifupa tuh ndoh hubakia.