Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook. Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x 🤔 Wewe nnje namambo yako ya msingi...
4 Reactions
15 Replies
241 Views
Mkazi wa Kijiji cha Bukombe, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, anayejulikana kwa jina la Power Mabula, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa ana uwezo wa kuzuia mafuriko, mvua kubwa pamoja na...
5 Reactions
18 Replies
302 Views
Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka...
5 Reactions
10 Replies
401 Views
Haya mafundisho mawili yamekuwa magumu sana kuyapokea kupokelewa na waumini waliowengi 1)KATAZO MAPAMBO KWA WANAWAKE NA KUJIREMBA Ikiwemo mavazi ya suruali kwa wanawake(mavazi yampasayo mwanaume...
3 Reactions
28 Replies
533 Views
Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia Mfano, ukileta tatizo...
8 Reactions
22 Replies
330 Views
1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za...
3 Reactions
3 Replies
107 Views
YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO YA MTANDAO WA HALOTEL MKOA WA GEITA Ndugu Huduma kwa Wateja, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mteja wenu wa mtandao wa Halotel niliyepo mkoa wa...
2 Reactions
1 Replies
168 Views
leo nimeshuhudia kwa macho yangu mtibeli amepata u platnum member..nami nimesaidia wengi kwa michango yangu iliyo wazi...natanguliza shukrani.
6 Reactions
9 Replies
108 Views
Anonymous
Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu. Kila...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Kuna wakati katika maisha unafika mahali unatambua kuwa ukuaji wako unaweza kuhitaji mazingira mapya. Kuhamia mji mpya si jambo rahisi. Unaacha marafiki uliozoea, maeneo uliyozoea, biashara...
3 Reactions
1 Replies
85 Views
sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya...
2 Reactions
21 Replies
166 Views
Anonymous
Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na...
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu. Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake, Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake, Utawala wa CCM ni mpango wake, Kama unaumwa huo ni...
7 Reactions
96 Replies
807 Views
Anonymous
Mwanza ni jiji lililokuwa likivutia kwa mandhari yake ya kipekee ya miamba, vilima na uoto wa asili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, huku hatua...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji. Mamlaka ya Jiji imeonekana...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Mzee wangu amemaliza utumishi. Kafungua madai ya kukosa ajira NSSF Mwanza, june 01, 2026. Danadana zinazoendelea hapo, hata Pele hakuwahi zicheza. Hadi leo hajalipwa. Majibu ya mwisho yalikuwa...
6 Reactions
29 Replies
446 Views
Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu...
1 Reactions
2 Replies
44 Views
KAMA NINGEKUWA ADUI YAKO, UNAFIKIRI NINGEANZA KUKUCHUNGUZIA WAPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unapoingia katika uadui na mtu yeyote. Hapana shaka huwezi kufanya shambulizi lolote bila...
2 Reactions
6 Replies
96 Views
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June ======== MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha...
23 Reactions
134 Replies
20K Views
TANZANIA INAMBOLEZA: PIGO ZITO KWA SOKA LA TANZANIA NA YANGA SC A Giant Has Fallen: Former Yanga SC President Francis Kifukwe Passes Away It is with profound sadness that the Tanzanian football...
2 Reactions
4 Replies
324 Views
Back
Top Bottom