Namba ya yule shemeji nimeipata

Namba ya yule shemeji nimeipata

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
1,652
Reaction score
3,271
Hellow Greate Thinker!!!

Nipo JF naona ki sms kimeingia kwa kinamba kigeni, kinasema Namba ya yule shemeji kimeipata, ni mtaalam atanisaidia nifanyeje wakuu!
 
Hellow Greate Thinker!!!

Nipo JF naona ki sms kimeingia kwa kinamba kigeni, kinasema Namba ya yule shemeji kimeipata, ni mtaalam atanisaidia nifanyeje wakuu!
Hao matapeli tuu,huwa wananitumia namba yazee nani sijui.Mjukuu wangu inapata shida sana katika kumtafuta na pesa haikai.Nipigie kwa namba hii
 
Back
Top Bottom