Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha...
2 Reactions
3 Replies
108 Views
1. Yuko wapi Humphrey Polepole? 2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea? 3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea? 4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii...
8 Reactions
7 Replies
190 Views
Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo...
0 Reactions
14 Replies
915 Views
Mpendwa Mama Samia Shikamoo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wakati mwingine ninapotazama safari yako, najikuta nikijiuliza ni wapi msichana anayekaribia kukata tamaa anaweza...
1 Reactions
4 Replies
137 Views
Hivi wanawake wa Pwani uswahilini wana style nyingine ya sanaa ya uchezaji zaidi ya hii ya kubinua makalio juu na kuyatikisa kama feni ya pangaboi?
5 Reactions
23 Replies
334 Views
SIKU 9 ZA MKANDARASI – MIJI 28 KOROGWE, HANDENI. MUHEZA NA PANGANI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amempa Mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Korogwe siku 9 kuanza majaribio ya kusukuma...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza. Kuna swali hua...
2 Reactions
21 Replies
193 Views
Hivi nyie boda road mnapachukukuaje? Mnajiendea tu, hana safety yoyote mmevaa hapo. Ukitizama hii video hata mstari wa kuovertake hauruhusu. Unatoka nyumbani salama unaenda kukatishwa uhai na...
2 Reactions
5 Replies
204 Views
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. 😳 Baadhi ya watumiaji wameripoti...
2 Reactions
10 Replies
152 Views
Kwa ujumla, kupiga mswaki kwa kutumia dawa ya kawaida ya meno (toothpaste) hakusababishi mabadiliko makubwa katika kiwango cha sukari kwenye damu wala kuathiri kwa kiasi kikubwa udhibiti wa...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
  • Redirect
Kutoka Zenj: mama (bibi) Fatma Karume, mke wa Abeid Aman Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi, amefariki dunia. Source: mitandao
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi) baada ya wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Singida kupatiwa mafunzo ya...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo wa dereva wa lori la serikali katika Wilaya ya Ileje, Mkoa wa Songwe, ambaye anadaiwa kusababisha ajali kwa bodaboda kutokana na uzembe wa kufuata...
2 Reactions
0 Replies
87 Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026...
2 Reactions
5 Replies
106 Views
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata...
1 Reactions
2 Replies
55 Views
1. Wamezama wengi ndani ya Mto 2. Wameumwa na Nyoka hatari 3. Wengi wameliwa na Simba Na Wataalam wa Ujenzi wa Mabwawa makubwa kama haya wanasema haya Mambo matatu niliyoyataja huwa hayaepukikina...
4 Reactions
20 Replies
492 Views
❤️
6 Reactions
85 Replies
726 Views
Kataa ndoa njooni msome kisa hiki. Naona mnaendelea kuvuna points ================ Mwanamke mmoja aliyedhaniwa amefariki na kuzikwa tangu Agosti 2014 huko Bihar, India, amepatikana akiwa mzima...
5 Reactions
17 Replies
346 Views
  • Poll Poll
Kuna siku niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu sana ana wivu. Kila nilipomshirikisha mafanikio yangu, badala ya kufurahi pamoja nami, alikuwa akitafuta namna ya kujilinganisha na mimi...
3 Reactions
23 Replies
265 Views
Back
Top Bottom