Ukiangalia picha za Chengdu, unaweza kudhani kinachoifanya iwe modern ni skyscrapers na majengo yake marefu pekee. Lakini modernity ya Chengdu iko zaidi kwenye mfumo wa jiji kuliko majengo...
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya...
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana.
Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali...
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini...
Tunaomba msaada na uchunguzi kuhusu namna magari ya serikali yanayouzwa kwa mnada yanavyopatikana, hasa kwa baadhi ya watu ambao inaonekana kupata fursa hizo kwa namna ambayo si wazi kwa wananchi...
Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt...
DAR ES SALAAM- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaonya wananchi wanaovamia maeneo kwa nguvu na kuunda vikosi vya ulinzi kwa ajili ya kulinda maeneo...
Mlima Kilimanjaro ni chanzo kikuu cha maji katika maeneo yote ya uchagani. Mifereji, mito, yote imeanzia huko.
Mlima huo ulipata umaarufu zaidi kwa kuwa na theluji(glaciers) ilihali upo karibu...
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?
Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?
tafadhali...
Unayetaka kuogopwa, kusifiwa na kupiga shughuli ya kiuhakika na hawa Viumbe (Wanawake) leo nakupa hii dawa utanishukuru....
Tafuta haraka sana vitu hivi vifuatavyo............
1. Tangawizi...
Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026...
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta...
Waziri Katambi, salama!
Naomba nikufikishie kilio cha sisi madereva wa Bajaj ambao tunatafuta riziki kwa kuendesha vyombo hivi. Kuna baadhi ya Watu wanaojiita “voice” ambao wamekuwa...
Askari Polisi Watano(5) na Mahabusu Saba (7) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo maeneo ya Mlima Sekenke Walayani Iramba Mkoani Singida
Wengine wawili...
Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi...
wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika na washirika wa kimataifa ziweke kipaumbele kwenye ajenda ya kutokomeza ugonjwa wa sotoka kwa mbuzi na kondoo (Peste des Petits...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.