Mimi ni mmoja wa watumiaji wa barabara za katikati ya mji (Posta Mpya/Sanamu la Askari). Kuna changamoto kubwa ya kimfumo (design fault) kwenye taa za kuongozea watembea kwa miguu katika eneo la...
Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah!
Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa?
Kuna haja ya serikali kuja...
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika,
Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026...
KOROGWE
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amezindua rasmi mpango wa kupanga, kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo la Shamba la Mwakinyumbi lililopo...
👉 Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (National Defence College – NDC) ni taasisi ya kimkakati inayolenga kuwaandaa viongozi waandamizi wa kijeshi na kiraia kwa maarifa na uelewa mpana katika...
KILIMANJARO- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amezungumza na wachezaji wa timu ya Ardhi Sports inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI mkoani Kilimanjaro na...
Mara zote niko makini sana kusoma tabia na saikolojia ya wapinga ushoga kwa muda mrefu sana sasa.
Ni wazi na bila shaka kabisa, nimebainisha na kujiridhisha, na ninaweza kusema bila hofu yoyote...
Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangalla, amesema hana kinyongo na wanachama wenzake wa CCM kwa kutomchagua katika kura za...
Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni...
TAARIFA KWA UMMA
KUKANUSHA TAARIFA YA KUDHALILISHWA KWA MWALIMU OMARI SALIMU ALLI
Mwalimu Omari Salimu Alli ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha aliyeajiriwa tarehe 01/04/2014. Baada...
Hivi wakuu huwa mnawezaje kupambana na hawa ving'ang'a mtu unambock mtandao A yeye anakufuata mtandao mwingine na ushamwambia hutaki mawasiliano naye.
Kila nikim-block, ananitafuta kwenye mtandao...
Hamis Kigwangalla akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM ametoa mtazamo wake kwa kusema Kuanzia kizazi chaon hadi hiki cha sasa watu wanataka mageuzi
"Kwa hivyo ah kuanzia...
Nikisema matatizo mbalimbali Namanisha matatizo kama ya kiafya, magonjwa ambayo umezunguka hospital zote madaktari hawaoni tatizo, sijui UKIMWI, magonjwa ya kansa, magonjwa ya hatari hatari...
Habari wadau.
Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one.
Na hapo unakuta hao watoto wametoka...
Ndoto imekuwa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na hata wanyama huota ndoto kutokana na shughuri zao za kila siku...!!
Binadamu tumeungwa katika ulimwengu ambao unaweza kutujulisha yajayo na ndio...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔
Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo...
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Mawaziri ya Jumuiya ya Madola (CMAG) wamesimama kwa dakika mbili kutoa heshima za mwisho na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, aliyekuwa...
Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu.
Changamoto ya vyoo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.