Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

👉 Sheikh Ahmed bin Rashid Al Maktoum alikuwa mwanachama mashuhuri wa familia ya kifalme ya Al Maktoum ya Dubai. 👉 Alizaliwa Dubai mwaka 1950, akiwa mtoto wa nne na wa mwisho wa Sheikh Rashid...
3 Reactions
2 Replies
116 Views
Anonymous
TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma. Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Moja kwa moja.. Kuna sehemu nipo kumetokea wizi mkubwa, wizi si wa mtandaoni ila Kuna namba inatuhumiwa kwani saa chache kabla ya tukio aliwapigia wahusika wa eneo hilo kujifanya ana mazungumzo...
5 Reactions
35 Replies
522 Views
Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli...
2 Reactions
0 Replies
66 Views
#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti! 1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva...
4 Reactions
12 Replies
263 Views
Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa...
0 Reactions
13 Replies
95 Views
Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa...
3 Reactions
13 Replies
148 Views
Sioni option ya loan take over nawezaje kulipa cash kama ninayo? Utaratibu ni upi? Hata ukirequest balance hawakupi?
2 Reactions
13 Replies
190 Views
In August 2026, remittances from Kenyans in Tanzania reached KSh1.52 billion, narrowly exceeding Saudi Arabia’s KSh1.50 billion. Under President Samia Suluhu Hassan, Tanzania has continued to...
1 Reactions
0 Replies
87 Views
Hapa Moga na Bunju Beach umeme unakatika kila siku asubuhi na kurudi jioni, mfano Septemba 18, 2026 walikata Saa 4 Asubuhi na kurudisha kama Saa 8 mchana lakini huwa mpaka saa 1 Jioni huwa ndio...
1 Reactions
2 Replies
264 Views
Wakuuuu! Happy...day!!! "Neno moja nimelitaka kutoka kwa BWANA, Nalo ndilo ...NITAKALO LITAFUTA... nikae nyumbani mwa BWANA....Siku zote za maisha yangu"" Psalm_27 :4. Wakuu Ni...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Hellow wana JF. Mtu kama huyu anafuata mkumbo eti ngoja nitunze vyakula ndani, are you Mad? Amini nakwambia chakula hakita kusaidia kwa chochote kama upo kwenye maeneo kama haya. We...
16 Reactions
75 Replies
977 Views
Serikali inajenga ghala lenye thamani ya Sh bilioni 1.3, lenye uwezo wa kuhifadhi hadi tani 5,000 za mazao. Ghala hilo litawawezesha wakulima kuhifadhi mazao yao na kusubiri bei nzuri sokoni...
1 Reactions
2 Replies
99 Views
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea...
5 Reactions
19 Replies
402 Views
Hii ni stori ya kweli: Nakumbuka ni miaka kadhaa imepita,kipindi niko form 4,Kuna binti mzuri wa kwenda.tumpe jina Irene. Irene alikuwa ni rafiki mkubwa wa mtoto wa dada yangu,walisoma skul...
5 Reactions
5 Replies
201 Views
Mambo ya kuepuka kama baba wa familia Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za...
8 Reactions
12 Replies
265 Views
Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au...
11 Reactions
14 Replies
280 Views
Kwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza...
8 Reactions
44 Replies
652 Views
Back
Top Bottom