Boda hapa angegongwa mngechoma moto?

Boda hapa angegongwa mngechoma moto?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,032
Reaction score
12,800
Hivi nyie boda road mnapachukukuaje? Mnajiendea tu, hana safety yoyote mmevaa hapo. Ukitizama hii video hata mstari wa kuovertake hauruhusu.

Unatoka nyumbani salama unaenda kukatishwa uhai na mzembe mmoja.



 
Angepasuliwa fuvu ndani ya dakika 0 tu, sema jamaa huwa hawaakomi hao ila hio video ya kwanza huyo boda fala sana ilibidi mumsimamishe mumtie mikwaju na kumnyang'anya leseni qmamake zake na iwe mwisho kuendesha pikipiki kuanzia siku hio shenzi type
 
Hivi haya masuala barabarani yapo kweli?
 
Back
Top Bottom