๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐—œ๐—— ๐Ÿ‘ค

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji.

Iphone 18 _20260921_225526_0000.png

๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa, Touch screen kugoma.

Baada ya sekunde chache, mfumo unakua crash/kernel panic Kisha iPhone yako ina jizima na kujiwasha yenyewe na kurudi kwenye upande wa lock Screen.

Cha kushangaza zaidi, tatizo linaonekana kutokea kwa baadhi ya watumiaji wakati Face ID inashindwa kutambua uso kwenye apps zinazohitaji biometric authentication.

Apple bado haijatoa maelezo rasmi kuhusu chanzo cha tatizo, hivyo inaonekana huenda likawa tatizo la software linaloweza kurekebishwa kupitia update ya iOS.
๐Ÿ”ฅ Kama una iPhone 18 Pro, umewahi kukutana na hii?
 
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji.

View attachment 3675373

Tatizo la kutotambua ni la kawaida kwani kuna baadhi ya watu mifumo hushindwa kutambua alama za vidole, zingatia usafi wa uso bila kujichubua.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwaiyo hii tabia ya kujichubua ndo imepelekea simu kushindwa kutoa lock kupitia face Id ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji.

View attachment 3675373

๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa, Touch screen kugoma.

Baada ya sekunde chache, mfumo unakua crash/kernel panic Kisha iPhone yako ina jizima na kujiwasha yenyewe na kurudi kwenye upande wa lock Screen.

Cha kushangaza zaidi, tatizo linaonekana kutokea kwa baadhi ya watumiaji wakati Face ID inashindwa kutambua uso kwenye apps zinazohitaji biometric authentication.

Apple bado haijatoa maelezo rasmi kuhusu chanzo cha tatizo, hivyo inaonekana huenda likawa tatizo la software linaloweza kurekebishwa kupitia update ya iOS.
๐Ÿ”ฅ Kama una iPhone 18 Pro, umewahi kukutana na hii?
Tatizo sura zenu mbaya na za kuogofya kama BICHWA KOMWE -
 
Wangejua watumiaji wao mostly hawana shida na vitu minors kama hivyo, as long as ile logo ya tunda kule nyuma inaonekana bila usumbufu.

Watumiaji wamekula viapo vya damu na hilo kampuni so wana ustahimilivu wa kiwango cha juu kuweza kumudu hilo tatizo kwa muda mrefu.

Wako tayari kutumia hivyo hivyo kwa zaidi ya miezi 6 wakisubiri software update ya iOS 28 itayokuja ku fix hizo bugs.

Cha msingi vyoo vya town viendelee kujengwa kisasa kuwekwa vioo ili zikipigwa picha kuwe na ushahidi unaoonyesha levels za maisha.
 
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji.

View attachment 3675373

๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa, Touch screen kugoma.

Baada ya sekunde chache, mfumo unakua crash/kernel panic Kisha iPhone yako ina jizima na kujiwasha yenyewe na kurudi kwenye upande wa lock Screen.

Cha kushangaza zaidi, tatizo linaonekana kutokea kwa baadhi ya watumiaji wakati Face ID inashindwa kutambua uso kwenye apps zinazohitaji biometric authentication.

Apple bado haijatoa maelezo rasmi kuhusu chanzo cha tatizo, hivyo inaonekana huenda likawa tatizo la software linaloweza kurekebishwa kupitia update ya iOS.
๐Ÿ”ฅ Kama una iPhone 18 Pro, umewahi kukutana na hii?
Na kwangu inasumbua nikajua peke yangu
 
Back
Top Bottom