Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,173
- 7,451
Hapo lengo wanataka na yule mshika mitutu naye aje aanzishe thread.Utoto Raha sana 😄
damu zishaanza kunukia hapa, ngoja nikae pembeni nishuhudieHapo lengo wanataka na yule mshika mitutu naye aje aanzishe thread.
Ephen❤️Utoto Raha sana 😄
EphenUtoto Raha sana 😄
Ephen❤️damu zishaanza kunukia hapa, ngoja nikae pembeni nishuhudie
Ephen❤️Dira ya dunia 2050
EphenDira ya dunia 2050
❤️Kipindi Cha mvua thread za hivi ni nyingi
Nikajua uzi wa De gunner
Ajabu tupo kipindi cha joto kidogo tukisubiri El Nino!Kipindi Cha mvua thread za hivi ni nyingi
Harakati za kutafuta kiki Facebook, mziki mgumu kakaSanii linapambania penzi sio poa
Kuna mvua za hapa na pale naona vijana wanafanya maandaliziAjabu tupo kipindi cha joto kidogo tukisubiri El Nino!
Naelewa kaka endelea kupambaniaHarakati za kutafuta kiki Facebook, mziki mgumu kaka
Ni mwendo wa nyandunyandu tu.Kipindi Cha mvua thread za hivi ni nyingi
Usiwaze kazi na dawaNaelewa kaka endelea kupambania
Anaefuata sijui nani..ukute kijana ana list ndefu🤣Nikajua uzi wa De gunner