Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Kuna siku niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu sana ana wivu. Kila nilipomshirikisha mafanikio yangu, badala ya kufurahi pamoja nami, alikuwa akitafuta namna ya kujilinganisha na mimi...
3 Reactions
23 Replies
265 Views
Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi...
8 Reactions
35 Replies
762 Views
Kumeibuka mjadala wenye utata mitandaoni kuhusu suala la posho kwa madaktari, ambapo wananchi pamoja na watumishi wa kada mbalimbali ndani ya sekta ya afya wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu...
2 Reactions
0 Replies
56 Views
  • Redirect
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97. Mama Fatma Karume alikuwa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Hili neno nimewasikia sana vijana wa Daslamu wakilisema ila sijawahi kuelewa maana yake ni ipi? Nini maana ya neno "JAU" ?
7 Reactions
31 Replies
494 Views
1. Mto wa Mbu, hili eneo ni hatari na nusu, na kama kwenye mvua hizi zitakuwa sawa au zaidi ya zile za 1997 basi tujiandae na maafa. Ziwa Manyara limejaa tope na sehemu pekee ya kumwaga maji...
10 Reactions
28 Replies
781 Views
Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je...
9 Reactions
36 Replies
344 Views
Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi mara baada ya kupatiwa mafunzo ya matumizi ya mfumo huo. Katika siku mbili za matumizi ya...
1 Reactions
2 Replies
75 Views
Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo. Mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu. Hivi hizo...
25 Reactions
246 Replies
16K Views
"Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..." "Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki...
1 Reactions
2 Replies
70 Views
Anonymous
Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
Hivi unajiskiaje uki abstain addiction kwa muda mrefu then siku moja haja zikuzidi na ujikute umerelapse? Aisee leo nimerelapsa na porn addiction yangu muda wa asubuhi niliamka na urges mbaya...
2 Reactions
10 Replies
133 Views
Ndugu Wana-JamiiForums, Septemba 21, 2026, imeacha kidonda kikubwa katika mkoa wa Singida, hususan katika eneo la Mlima Sekenke, kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyogharimu maisha ya watu 12...
2 Reactions
8 Replies
357 Views
Kuna simulizi ambazo zimekuwa zikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi kwenye mitaa yetu. Moja kati ya imani zenye utata mkubwa na zinazotisha wazazi wengi ni hii: "Kitovu cha mtoto mchanga wa...
5 Reactions
14 Replies
267 Views
MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mlokole lakini niliyebahatika kuisoma dini ya shetani na kuhudhuria ibada zao walau mara moja Dini zinazomwamini Mungu mmoja bado zina nguvu sana, mitandao...
7 Reactions
41 Replies
717 Views
  • Closed
Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto...
16 Reactions
108 Replies
2K Views
Habari Wana Jf! Niende moja kwa moja kwenye Mada. Katika harakati za ukamalia,maarufu kama betting huko kwenye cannell za what's App,nikajiunga na channel moja iliyo jiita "Free correct score "...
8 Reactions
44 Replies
779 Views
KAGERA Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Bw. Isaya Tendega amesisitiza umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mfumo wa e-Ardhi ili waweze kuuelewa na kuutumia ipasavyo wakati...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
Back
Top Bottom