Habari wanajamvi,
Bila shaka leo yetu ni nzuri na njema sana na MUNGU awape wepesi wote wenye changamoto na matatizo mbalimbali.
Haya soma hapa sasa na hii ndio sababu ya huu uzi.
Hivi wale...
Heshima yenu wana JF
Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara,lakini changamoto kubwa ambayo huwa ninaipata japo si mara kwa mara ni maumivu na kuota kwa vipele upande wa kwenye kisogo.
Je ni nini...
Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland...
Unaitumia kila siku na unaishi ndani yake siku 7 za wiki, rangi 7 za upinde wa mvua juu ya kichwa chako, na noti 7 za muziki kwenye kila wimbo uliowahi kukutoa machozi.
Lakini swali ambalo watu...
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI
Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha.
Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika...
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo!
Hawa jamaa ukifika kwao kila...
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye...
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani?
2: Papuchi- ni tunda au nini haswa?
3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati
4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio?
5...
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja.
Sasa kuna msichana mmoja...
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza...
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote...
A) Wayahudu
Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana
Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende...
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha...
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa.
Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.