Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,836
Reaction score
9,882
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
 
Wengi ni kwasababu walizaliwa huko mkuu.
Wazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wame
😁😁

Huwa nashangaa mtu anaefata hii itikadi.

Ni either ana certain case ya insanity au ameamua kutupilia mbali logic na utashi wake
Uislam ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam
 
Wazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wameuona ukweli

kuwa mwangalifu na wazungu wanaokuwa muslims, wengi wao ni communists na wana-agenda maalumu ni kama kama tu thomas mwaipopo aka shehe mwaipopo, kazi yake kuu ni kusilimisha hana kazi nyingine, kuna sababu kwa nini anatokea (shehe mwaipopo) mbeya na siyo tanga mjini, bagamoyo, kigoma au hata lindi hivyo yuko kazini na hiyo ndiyo kula yake, lkn kwa hali ya kawaida hakuna Christian mwenye akili timamu anayeweza kuwa Muslim kwa hiari i mean, hivi kuna kitu gani hasa kinachoweza kumvutia Christian aache Christianity na kufwata islam ukiondoa mambo ya siasa? ...
 
Wazungu wengi wanaokuja huku wala hawakuzaliwa huku ila wame

Uislam ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam
Endelea kudanganya wapumbavu wenzako mnaokaa nao kwenye vijiwe vya gahaawa

Mfumo sahihi?😁😁

Mfumo uliokuja kwa namna ubakaji ,uuaji na utumwa na kusifia majini na kuwapa watu thawabu kwa kuua wakristo na wayahudi

Mfumo una suppprt violence na pedophilia , ndio unasema sahihi.

Kalale dogo.
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

Ona Yesu aliongea na Shetani kabla ya Quran kushushwa kwa Mtume Mohammed (s.a.w).
 
Naam lakini shetani si mkristo na alikuwa adui mkubwa wa Yesu. Lakini ni muislamu, yani shetani na uislamu ni dam dam.
 
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu
"Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
View attachment 3677153
Huyo ala wa kwenye kurwani ndio shetani mwenyewe.
 
kuwa mwangalifu na wazungu wanaokuwa muslims, wengi wao ni communists na wana-agenda maalumu ni kama kama tu thomas mwaipopo aka shehe mwaipopo, kazi yake kuu ni kusilimisha hana kazi nyingine, kuna sababu kwa nini anatokea (shehe mwaipopo) mbeya na siyo tanga mjini, bagamoyo, kigoma au hata lindi hivyo yuko kazini na hiyo ndiyo kula yake, lkn kwa hali ya kawaida hakuna Christian mwenye akili timamu anayeweza kuwa Muslim kwa hiari i mean, hivi kuna kitu gani hasa kinachoweza kumvutia Christian aache Christianity na kufwata islam ukiondoa mambo ya siasa? ...
Naona unaruka ruka juu kule umesema waislam wanabakia uislamuni sababu ya kuzaliwa kwao
Nimekupa hoja tena naona unaruka ruka
Wewe unawasemea uliwahi kuingia kwenye nafsi zao lini?
Nikujuze tu kwasasa uislam ndio dini inayokua kwakasi zaidi ulaya na ulimwenguni kwa ujumla wake
Kwahio ulaya wengi wamezaliwa wakiwa waislam 😄😃😄
Yaani hamujawahi kuwa na hoja
 
Endelea kudanganya wapumbavu wenzako mnaokaa nao kwenye vijiwe vya gahaawa

Mfumo sahihi?😁😁

Mfumo uliokuja kwa namna ubakaji ,uuaji na utumwa na kusifia majini na kuwapa watu thawabu kwa kuua wakristo na wayahudi

Mfumo una suppprt violence na pedophilia , ndio unasema sahihi.

Kalale dogo.
Naona umeruka ruka kama bisi kikaangoni
Hakuna sehemu hata moja katika uloyataja unaweza kuyathibitisha kutokea ndani ya uislam
Kama yapo yalete
 
Back
Top Bottom