Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini za asubuhi wana Jamii Forum Naomba kutangaza Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha Kiwanja namba 512 Kitalu C Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1) Kila upande zinafanana Sifa ya Nyumba...
1 Reactions
13 Replies
407 Views
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto. Huwezi kwenda...
11 Reactions
178 Replies
13K Views
Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU? 1. Polisi 2. CCM 3. Bakwata 4. Malasusa 5. ACT ( baadhi excluding Ado...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Tangu nimeanza kumsikia Godfrey Tumaini na kelele zake za ushoga hapa nchini sijawahi kumsikia akitaja au akipambana na shoga yeyote mwanamke. Sijui ni kwa bahati mbaya au kwa sababu anajua...
1 Reactions
13 Replies
168 Views
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
14 Reactions
129 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimejaribu kuunganisha CV yangu na vyeti vyangu kuwa PDF moja ili nitume maombi ya kazi. Nimetumia simu tu. Nimehangaika na tools nyingi online zinanipa watermark au zinanataka...
0 Reactions
7 Replies
115 Views
Ni Nini kinaendelea hapa ? ✍️✍️ Kwanini wanakuna vichwa ? ✍️✍️✍️
0 Reactions
10 Replies
249 Views
Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA...
1 Reactions
1 Replies
83 Views
Habari wadau, Nimejaribu kuunganisha CV yangu na vyeti vyangu kuwa PDF moja ili nitume maombi ya kazi. Nimetumia simu tu. Nimehangaika na tools nyingi online zinanipa watermark au zinanataka...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Habari za wakati huu wakuu!. Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha...
31 Reactions
251 Replies
13K Views
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time. Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni...
1 Reactions
24 Replies
400 Views
Hawa watu chuoni wanasoma kozi gani? au huwaga ni askari maana huwa wanakamata pia watu.
0 Reactions
2 Replies
107 Views
Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza...
2 Reactions
2 Replies
130 Views
Hili ni wazo la mkuu Kalamu alilitoa tukiwa kwenye mjadala wa mada ya CHADEMA Alishauri tuweke kwenye kumbukumbu kwa faida ya historia Mambo ya hovyo, uvunjaji wa sheria na haki za binadamu...
12 Reactions
18 Replies
406 Views
Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?
6 Reactions
12 Replies
279 Views
Wanaongeza maushuru kwenye bia kila siku inawabidi watu wa kipato cha chini walowengi wanywe hizo smart gin, visungura jobo vodka na dabo kiki Hali ni mbaya sana visungura vinamaliza hili taifa...
4 Reactions
12 Replies
168 Views
Kutokana na Dunia kwa sasa soko la cryptocurrency likonwazi mataifa makubwa ya meingia katika hii biashara. Sasa ni wakati kuwekwa jukwa hapa ili watanzania wafunguke ubongo,kuliko kila mara...
1 Reactions
7 Replies
218 Views
Wazee naomba kueleweshwa hii kozi ya applied informatics in industrial automation iko marketable kweli?
1 Reactions
1 Replies
61 Views
Pombe 🍺 Tumeshaona dawa kibao zikitangazwa za kuachisha mtu ulevi. Wengine wakitumia wanatapika, wanachukia pombe kwa muda, lakini wakirudi kwenye hali zao za kawaida kiu ikibana na hamu ikirudi...
2 Reactions
9 Replies
139 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…