Nyumba Inauzwa

Nyumba Inauzwa

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
384
Reaction score
757
Habarini za asubuhi wana Jamii Forum
Naomba kutangaza
Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha
Kiwanja namba 512 Kitalu C
Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1)
Kila upande zinafanana
Sifa ya Nyumba
Master bedroom
Male Room
Female Room
Choo
Jiko
Pande zote nyumba zinafanana
Aidha kuna Nyumba ya mlinzi
Nyumba ina hati
Maji ya Kisima na pampu zipo
Umeme hupo na huduma zote muhimu
Ukubwa wa kiwanja Sm 488
Mkoa Geita

Kwa Mawasiliano +255693277488 na taarifa zote zingine karibuni
 
Bei ni 100 M
Hivi kuna mtu kabisa anaweza kwenda Geita kununua nyumba milioni 100? Mie hapo Dar tu sijui kinyerezi, vingunguti, temeke, mbagala hadi huko kijichi siwezi weka milioni 100 eti kwa nyumba. Lakini watu tunatofautiana, ngoja waje wanaotaka kuishi Geita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom