Sheria na Mikataba inayolinda ushoga ambayo Tanzania imeridhia

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,623
10,051
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto.

Huwezi kwenda popote kudai haki ya ngono, au haki ya kufanya mapenzi na mchepuko, au haki ya kupiga punyeto, ISIPOKUWA unaweza kudai HAKI JUU YA UHURU WA MWILI WAKO na HAKI JUU YA FARAGHA YAKO.

Hivyo, hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kukuzuia kupiga punyeto, au kuingiliwa haja kubwa, au kusagana, au kunyonya sehemu za siri, au kufanya ngono — japokuwa ngono si haki iliyotajwa na sheria moja kwa moja, lakini kupitia msingi wa HAKI JUU YA UHURU WA MWILI WAKO na FARAGHA YAKO, ngono inajumuishwa ndani ya haki hizo.

Ndivyo ulivyo ushoga. Na ndivyo sheria za nchi zinavyosema, pamoja na maamuzi ya kimahakama, ikiwemo na sheria mbalimbali za kimataifa ambazo Tanzania imeziridhia kama ifuatavyo:

1. KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho):

a) IBARA 12 (1): "Binadamu wote huzaliwa HURU, na wote ni sawa". (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kupora uhuru wa mwili wako na maamuzi juu ya unavyojamiiana na kuingiliana isipokuwa kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

b) IBARA YA 15 (1): "Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu huru". (FAFANUZI, Rejea IBARA YA 12 (1) ).

c) IBARA YA 12 (2): "Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwatweza watu utu wao, kuwadhalilisha, kuwapima vipimo vya haja kubwa bila idhini yao, kuwatesa na kuwaadhibu kwa msingi wa machaguo ya maisha yao, isipokuwa tu kama vitendo vyao vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

d) IBARA YA 13 (1) (2): "Watu wote ni sawa mbele ya sheria.... ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake". (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwazuia watu kufanya machaguo juu ya hisia za miili yao, au hisia zao za ngono, kuwadhibiti na kuwaelekeza namna ya kujamiiana au namna ya kuingiliana au namna ya kushiriki ngono, na wakati huo huo, ikiwapa uhuru watu wengine kwa matendo yale yale ya ngono).

e) IBARA YA 16 (1): "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake, na unyumba wake". (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuingilia faragha ya maisha binafsi ya mtu, wapenzi wake, ngono anayoshiriki, machaguo ya maisha yake na machaguo ya hisia zake, isipokuwa tu kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

f) IBARA YA 13 (6): "Kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai". (FAFANUZI: Ni marufuku kutweza utu wa mtu kwa kumuingizia vidole sehemu yake ya haja kubwa, kumpekua usiri wa maumbile yake au faragha ya mwili wake bila idhini yake) (PIA REJEA: Azimio la umoja wa mataifa kuhusu vipimo vya lazima vya haja kubwa kinyume na mkataba wa kuondosha aina zote za ukatili na zinazotweza utu wa binadamu).

2. TAMKO LA ULIMWENGU LA HAKI ZA BINADAMU LA MWAKA 1948 (UDHR):

a) IBARA YA 1: " Binadamu wote wamezaliwa huru na sawa kwa utu na kwa haki". (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kutweza utu wa mtu, kufanya ubaguzi, kuonea au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu isipokuwa tu kwa minajili ya kulinda haki za watu wengine).

b) IBARA YA 9: "Ni marufuku kukamata watu kiholela, kuwatia kizuizini au kuwafukuza". (FAFANUZI: Ni marufuku kukamata na kuwafunga watu jela kwa minajili ya mionekano yao, au nguo zao au maumbile yao).

c) IBARA YA 12: " Ni marufuku kuvamia faragha za watu kiholela". (FAFANUZI: Rejea IBARA YA 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).

d) IBARA YA 18: "Kila mtu ana uhuru wa mawazo, utambuzi na uhuru wa dini". (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yotote kutunga sheria kwa kutumia msingi wa dini fulani, au msingi wa biblia au quran, au kuweka na kupachika vigezo vya kimaadili juu ya watu kwa msingi wa kidini).

3. MKATABA WA KIMATAIFA WA HAKI ZA KIRAIA NA KISIASA WA MWAKA 1966 (ICCPR):

a) IBARA YA 26 : "Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wana haki ya kulindwa na sheria bila ubaguzi wowote". (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kuonea, kubagua au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu visivyo halali).

HITIMISHO: Hii ndiyo mikataba mikuu miwili ambayo Tanzania imeridhia kuilinda na kuiheshimu kimataifa. Zoezi lolote la kunyanyasa watu kwa msingi wa maumbile yao au hisia zao ni zoezi lililo kinyume na Katiba ya nchi ya Mwaka 1977, kinyume na Tamko la Haki za Binadamu la Mwaka 1948, na kinyume na Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa wa mwaka 1966.

Na Mikataba hii ndiyo ambayo Tanzania ilijiapiza kuilinda na kuiheshimu kupitia Tangazo Rasmi la Serikali la tarehe 04 November 2018.
 
Attachments

  • IMG-20230426-WA0022.jpg
    IMG-20230426-WA0022.jpg
    82.7 KB · Views: 21
Sasa wewe endelea kushupaza shingo.
KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (Kama ilivyorekebishwa) IBARA YA 13 (6):

"Kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai" (FAFANUZI: Ni marufuku kutweza utu wa mtu kwa kumuingizia vidole sehemu yake ya haja kubwa, kumpekua usiri wa maumbile yake au faragha ya mwili wake bila idhini yake) (REJEA: Azimio la umoja wa mataifa kuhusu vipimo vya lazima vya haja kubwa kinyume na mkataba wa kuondosha aina zote za ukatili na zinazotweza utu wa binadamu).
 
Lengo lako ni nini, maana tusiende mbali sana.
 
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto.

Huwezi kwenda popote kudai haki ya ngono, au haki ya kufanya mapenzi na mchepuko, au haki ya kupiga punyeto, isipokuwa unaweza kudai haki juu ya uhuru wa mwili wako na haki juu ya faragha yako.

Hivyo, hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kukuzuia kufanya ngono au kupiga punyeto, au kuingiliana haja kubwa, japo ngono si haki iliyotajwa na sheria, lakini kupitia msingi wa haki ya mwili wako na faragha yako, ngono inajumuishwa ndani ya haki hizo.

Ndivyo ulivyo ushoga. Na ndivyo sheria za nchi zinavyosema, pamoja na maamuzi ya kimahakama, ikiwemo na sheria mbalimbali ambazo Tanzania imeziridhia kama ifuatavyo:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho:

a) IBARA 12 (1): Binadamu wote huzaliwa HURU, na wote ni sawa. (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kupora uhuru wa mwili wako na maamuzi juu ya unavyojamiiana na kuingiliana isipokuwa kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

b) IBARA YA 15 (1): Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu huru (FAFANUZI, Rejea IBARA YA 12 (1) ).

c) IBARA YA 12 (2): Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwatweza watu utu wao, kuwadhalilisha, kuwapima vipimo vya haja kubwa bila idhini yao, kuwatesa na kuwaadhibu kwa msingi wa machaguo ya maisha yao, isipokuwa tu kama vitendo vyao vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

d) IBARA YA 13 (1) (2): Watu wote ni sawa mbele ya sheria.... ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwazuia watu kufanya machaguo juu ya hisia za miili yao, au hisia zao za ngono, kuwadhibiti na kuwaelekeza namna ya kujamiiana au namna ya kuingiliana au namna ya kushiriki ngono, na wakati huo huo, ikiwapa uhuru watu wengine kwa matendo yale yale ya ngono).

e) IBARA YA 16 (1): Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake, na unyumba wake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuingilia faragha ya maisha binafsi ya mtu, wapenzi wake, ngono anayoshiriki, machaguo ya maisha yake na machaguo ya hisia zake, isipokuwa tu kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

f) IBARA YA 13 (6): Kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai (FAFANUZI: Ni marufuku kutweza utu wa mtu kwa kumuingizia vidole sehemu yake ya haja kubwa, kumpekua usiri wa maumbile yake au faragha ya mwili wake bila idhini yake) (PIA REJEA: Azimio la umoja wa mataifa kuhusu vipimo vya lazima vya haja kubwa kinyume na mkataba wa kuondosha aina zote za ukatili na zinazotweza utu wa binadamu).

2. Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu la Mwaka 1948:

IBARA YA 1: Binadamu wote wamezaliwa huru na sawa kwa utu na kwa haki (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kutweza utu wa mtu, kufanya ubaguzi, kuonea au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu isipokuwa tu kwa minajili ya kulinda haki za watu wengine).

IBARA YA 9: Ni marufuku kukamata watu kiholela, kuwatia kizuizini au kuwafukuza (FAFANUZI: Ni marufuku kukamata na kuwafunga watu jela kwa minajili ya mionekano yao, au nguo zao au maumbile yao).

IBARA YA 12: Ni marufuku kuvamia faragha ya watu kiholela (FAFANUZI: Rejea IBARA YA 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).

IBARA YA 18: Kila mtu ana uhuru wa mawazo, utambuzi na uhuru wa dini (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yotote kutunga sheria kwa kutumia msingi wa dini fulani, au msingi wa biblia au quran, au kuweka na kupachika vigezo vya kimaadili juu ya watu kwa msingi wa kidini).

3.Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa wa Mwaka 1966:

IBARA YA 26 : Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wana haki ya kulindwa na sheria bila ubaguzi wowote (Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kuonea, kubagua au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu visivyo halali).

HITIMISHO: Hii ndiyo mikataba mikuu miwili ambayo Tanzania imeridhia kuilinda na kuiheshimu kimataifa. Zoezi lolote la kunyanyasa watu kwa msingi wa maumbile yao au hisia zote ni zoezi lililo kinyuma na Katiba ya nchi ya mwaka 1977, kinyume na Tamko la haki za binadamu la mwaka 1948, na kinyuma na mkataba wa kimataifa wa haki za kiraia na kisiasa wa mwaka 1966.

Na mikataba hii ndiyo ambayo Tanzania ilijiapiza kuilinda na kuiheshimu kupitia tangazo rasmi la serikali la tarehe 04 November 2018.
Hizi fafanuzi umezitoa kwenye hilo bichwa komwee au umezitoa wapi.
 
Kwa hiyo mahakama inakosea kuwafunga?? Hamieni huko
Kwani mahakama ni nani hata isikosee?

Watu wenyewe wamefungwa kiholela bila kusikilizwa wala kujitetea.

Soma hii:

IBARA YA 14 YA ICCPR (1966):

"Watu wote wana haki ya usawa mbele ya mahakama. Katika maamuzi ya jinai, kila mtu ana haki ya kusikilizwa kwa uwazi na kwa haki mbele ya mahakama rasmi yenye upeo na yenye weledi na ambayo haifanyi hila wala ubaguzi".... (3) Mshitakiwa ana haki ya kuelezwa mashtaka yake vizuri kwa lugha anayoielewa na apewe muda wa kujiandaa kuwasilisha utetezi wake na kuchagua wakili wake".

Katika zile kesi mbili za mwendokasi zinazosemekana kuwafunga mashoga, tunaona utaratibu haukufuatwa. Washtakiwa walifungwa kienyeji kienyejii kana kwamba wamehukumiwa na baraza la walevi.
 
Kwani mahakama ni nani hata isikosee?

Watu wenyewe wamefungwa kiholela bila kusikilizwa wala kujitetea.

Soma hii:

IBARA YA 14 YA ICCPR (1966):

"Watu wote wana haki ya usawa mbele ya mahakama. Katika maamuzi ya jinai, kila mtu ana haki ya kusikilizwa kwa uwazi na kwa haki mbele ya mahakama rasmi yenye upeo na yenye weledi na ambayo haifanyi hila wala ubaguzi".... (3) Mshitakiwa ana haki ya kuelezwa mashtaka yake vizuri kwa lugha anayoielewa na apewe muda wa kujiandaa kuwasilisha utetezi wake na kuchagua wakili wake'
Ko ulisomeshwa na wanyonge ili kualibu Mila na desturi zetu wa Tanzania.

Haya mnao support wanasheria mwenzenu huyu apa.

Ona aibu ata kwa muumba wako.

Shame on you!
 
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto.

Huwezi kwenda popote kudai haki ya ngono, au haki ya kufanya mapenzi na mchepuko, au haki ya kupiga punyeto, isipokuwa unaweza kudai haki juu ya uhuru wa mwili wako na haki juu ya faragha yako.

Hivyo, hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kukuzuia kufanya ngono au kupiga punyeto, au kuingiliana haja kubwa, japo ngono si haki iliyotajwa na sheria, lakini kupitia msingi wa haki ya mwili wako na faragha yako, ngono inajumuishwa ndani ya haki hizo.

Ndivyo ulivyo ushoga. Na ndivyo sheria za nchi zinavyosema, pamoja na maamuzi ya kimahakama, ikiwemo na sheria mbalimbali ambazo Tanzania imeziridhia kama ifuatavyo:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho):

a) IBARA 12 (1): Binadamu wote huzaliwa HURU, na wote ni sawa. (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kupora uhuru wa mwili wako na maamuzi juu ya unavyojamiiana na kuingiliana isipokuwa kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

b) IBARA YA 15 (1): Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu huru (FAFANUZI, Rejea IBARA YA 12 (1) ).

c) IBARA YA 12 (2): Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwatweza watu utu wao, kuwadhalilisha, kuwapima vipimo vya haja kubwa bila idhini yao, kuwatesa na kuwaadhibu kwa msingi wa machaguo ya maisha yao, isipokuwa tu kama vitendo vyao vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

d) IBARA YA 13 (1) (2): Watu wote ni sawa mbele ya sheria.... ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuwazuia watu kufanya machaguo juu ya hisia za miili yao, au hisia zao za ngono, kuwadhibiti na kuwaelekeza namna ya kujamiiana au namna ya kuingiliana au namna ya kushiriki ngono, na wakati huo huo, ikiwapa uhuru watu wengine kwa matendo yale yale ya ngono).

e) IBARA YA 16 (1): Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake, na unyumba wake (FAFANUZI: Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kuingilia faragha ya maisha binafsi ya mtu, wapenzi wake, ngono anayoshiriki, machaguo ya maisha yake na machaguo ya hisia zake, isipokuwa tu kama vitendo hivyo vinanyang'anya haki ya mtu mwingine).

f) IBARA YA 13 (6): Kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai (FAFANUZI: Ni marufuku kutweza utu wa mtu kwa kumuingizia vidole sehemu yake ya haja kubwa, kumpekua usiri wa maumbile yake au faragha ya mwili wake bila idhini yake) (PIA REJEA: Azimio la umoja wa mataifa kuhusu vipimo vya lazima vya haja kubwa kinyume na mkataba wa kuondosha aina zote za ukatili na zinazotweza utu wa binadamu).

2. Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu la Mwaka 1948:

IBARA YA 1: Binadamu wote wamezaliwa huru na sawa kwa utu na kwa haki (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kutweza utu wa mtu, kufanya ubaguzi, kuonea au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu isipokuwa tu kwa minajili ya kulinda haki za watu wengine).

IBARA YA 9: Ni marufuku kukamata watu kiholela, kuwatia kizuizini au kuwafukuza (FAFANUZI: Ni marufuku kukamata na kuwafunga watu jela kwa minajili ya mionekano yao, au nguo zao au maumbile yao).

IBARA YA 12: Ni marufuku kuvamia faragha ya watu kiholela (FAFANUZI: Rejea IBARA YA 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).

IBARA YA 18: Kila mtu ana uhuru wa mawazo, utambuzi na uhuru wa dini (FAFANUZI: Ni marufuku kwa mamlaka yotote kutunga sheria kwa kutumia msingi wa dini fulani, au msingi wa biblia au quran, au kuweka na kupachika vigezo vya kimaadili juu ya watu kwa msingi wa kidini).

3.Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa wa Mwaka 1966:

IBARA YA 26 : Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wana haki ya kulindwa na sheria bila ubaguzi wowote (Ni marufuku kwa mamlaka yoyote kuonea, kubagua au kudhibiti watu kiholela na kwa maguvu visivyo halali).

HITIMISHO: Hii ndiyo mikataba mikuu miwili ambayo Tanzania imeridhia kuilinda na kuiheshimu kimataifa. Zoezi lolote la kunyanyasa watu kwa msingi wa maumbile yao au hisia zao ni zoezi lililo kinyuma na Katiba ya nchi ya mwaka 1977, kinyume na Tamko la haki za binadamu la mwaka 1948, na kinyume na mkataba wa kimataifa wa haki za kiraia na kisiasa wa mwaka 1966.

Na mikataba hii ndiyo ambayo Tanzania ilijiapiza kuilinda na kuiheshimu kupitia tangazo rasmi la serikali la tarehe 04 November 2018.
Kwahiyo mwanangu unapambania kuingiziwa?
 
Back
Top Bottom