Na pendekeza JF kuweka Jukwa la Cryptocurrency

Na pendekeza JF kuweka Jukwa la Cryptocurrency

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,951
Reaction score
9,468
Kutokana na Dunia kwa sasa soko la cryptocurrency likonwazi mataifa makubwa ya meingia katika hii biashara.

Sasa ni wakati kuwekwa jukwa hapa ili watanzania wafunguke ubongo,kuliko kila mara waonaposikia cryptocurrency basi uwaza muda wote wanadhani cryptocurrency ni utapeli, japo ni kweli kuna utapeli mkubwa! ila kukiwa na jukwaa huru watu wanaweza kuwa wanapata uelewa wa hii biashara mtandao!

Maana ndipo dunia inapoelekea na haikwepeki! Ni hilo tu najua uongozi utazingatia hili andiko na kuweza kufungua milango ya cryptocurrency hata masoko ya hisa wengi hawafahumu!

Ila likifunguliwa na kuweka subpages za stock exchange watu watajua! Na wengi hawajui hapa Tanzania kuna Mabenki yana trade usiku kucha kwa pesa zao!

Asanteni JF
 
Kutokana na Dunia kwa sasa soko la crypitalcarrency likonwazi mataifa makubwa ya meingia katika hii biashara.

Sasa ni wakati kuwekwa jukwa hapa ili watanzania wafunguke ubongo,kuliko kila mara waonapo crypital muda wote wanadhani crypital currency ni utapeli japo ni kweli kuna utapeli mkubwa! ila kukiwa na jukwaa huru watu wanaweza wanapata uelewa wa hii biashara mtandao!

Maana ndopo dunia inapoelekea na haikwepeki! Ni hilo tu najua uongozi utazingatia hili andiko na kuweza kufungua milango ya crypital currency hata masoko ya hisa wengi hawafahumu!

Ila likifunguliwa na kuweka subpages za stockexchange watu watajua! Na wengi hawajui hapa Tanzania kuna Mabenki ya trade usiku kucha kwa pesa zao!
Asanteni JF
Kuna jamaa alishawahi kufungua
 
Back
Top Bottom