Usiyumbishwe na Mitazamo ya Watu

Usiyumbishwe na Mitazamo ya Watu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
930
Reaction score
795
Usiyumbishwe na maneno na mitazamo Ya watu,

Kwa maana hata kwenye mti mmoja:-

🫴Mpishi ataona Kuni,

🫴Selemala ataona mbao,

🫴Mganga ataona dawa,

🫴Mpita njia ataona kivuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom