Fanya uende ukaone mwenyewe hata kutembelea ndugu tu...unajua mabanda kuzunguka uwanja kama wa mpira ...? Humo mabanda ndio wanalala mahabusu....wanaita mabweni etc...mnalundikwa huko kuna vilago ( vigodoro vidogo) mnapangana mnalala mzungu wa 4....
Mabweni ViP huko watu sio wengi....sana...na mengine ya wagonjwa etc....mchana huachiliwa hapo uwanjani.....wanapiga story kufua etc...tafutayoutube amdika magufuli atembelea gereza butimba.....utapata picha zaidi
Nchi hii bado ni koloni la watu wachache ndani ya CCM .
Tangu ukoloni magereza ni yale yale yaliyojengwa na Mjerumani kwa lengo la kuwafunga watu weusi .
Yaani CCM miaka 64 ya uhuru haijaweza kujenga Gereza Jipya la kisasa lenye hadhi ya kumweka Binadamu .
Ukifika wanaplala mbwa wa Makada wa CCM ni pazuri kuliko magereza ambayo Vijana hao na wafungwa wengine wanazalisha na kuipunguzia serikali gharama kubwa sana .
Yaani wafungwa wanachoizalishia serikali ni kikubwa sana lakini serikali imeshindwa kabisa kujenga magereza ya kisasa yenye huduma kama maji safi ,vyoo ,vyenye maji , Uwanja mzuri wa ,mchezo , Jiko zuri ,sero zenye huduma ya maji ,Ukuta wa kisasa wenye Kamera ,Nyumba bora za askari magereza n.k.
Baada ya kuwapa huduma nzuri za kuishi kama binadamu sasa hatua inayofuata ni kuhakikisha wanatumia nguvu zao kwa asilimia 100 kuzalisha na kuleta tija . Masaa 12 watafanya kazi zote kulingana na fani zao.
Serikali ya mpaka karne hii baada ya uhuru bado wakoloni weusi wanatumia magereza kama sehemu ya kuwakomoa na kuwatesa binadamu.Hasa Tanganyika. Tanganyika imekua ndiyo sehemu ya watawala kufanya wanachotaka alimradi hakiwaumizi wao .
Zanzibar hakuna Magereza ya kikoloni kule wanaita chuo cha mafunzo.
Na uhalifu sio Mkubwa kama Tanganyika ambapo mpaka bungeni wanasifia sifa mbaya ya magereza .
Aibu kubwa kwa CCM kuwatesa wanadam kama vile ni Wanayama .
Ni wazi kuwa inavyomtesa mnyama ndivyo anavyokua mbaya na katili kwa binadamu.
Ni kwa nini viongozi wa CCM wana roho mbaya wakati wanautajiri mkubwa sana ?
Jibu ni moja utajiri wao sio halali ni utajiri wa damu na mateso ya wengine lakini pia hata nafasi walizo nazo sio za halali ni za kupeana kiupendeleo au kwa rushwa.
Hii nchi bado sana chini ya CCM.
Labda aje Gwajima au Tundu Lisu au Polepole au Jenerali Heche 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubaya ubwela.
Heche ni zaidi ya Capt. Traore wa Bukina faso.
Miaka mitano tu nchi inakua kama Denmark.
Mamaeee🤣🤣🤣🤣