Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ Messages โ Device Pairing โ Scan QR Code โ Scan QR kwenye PC sasa mambo yamebadilika bhana.
Badala yake, Google inaelekeza watu Kuanza kutumia Google Account kufanya pairing ya Messages kati ya simu na kompyuta. ๐ป๐ฒ
Mabadiliko haya yanaanza kusambazwa hatua kwa hatuaโkwa hiyo usishangae kama QR Code bado ipo kwenye simu yako. ๐
Unaionaje mabadiliko haya tuachie maoni yako ๐
#bongotech255