Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani? Teknolojia inaweza kuwa...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu. Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo! But why not this one!
3 Reactions
29 Replies
240 Views
Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. 👇👇👇...
2 Reactions
14 Replies
266 Views
Habar za mda huu wadau mimi ni dalali wa vyumba viwanja frames hostels na ofisi nilianza rasmi 2024 sasa nimewaza nataka nijiweke kisasa naomba nitapataje kibali au leseni ya udalali nataka huu wa...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Kuna sintofahamu imeibuka baada ya Greda la Manispaa ya Moshi alilokuwa akilitumia mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Ibrahim Mohamed Shayo kukarabati barabara za pembezoni mwa jimbo lake kudaiwa...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Wahudumuwa benki wanaongea kama hawataki wakati wanatoa huduma, mdada hapo anawaonya la sivyo tableti ya kichwa itawahusu
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Msikize kwenye video hapo 👇
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Anonymous
Naishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B, ni mtumiaji wa Mtandao wa Halotel kwa takribani miaka nane sasa, lakini kwa kipindi hiki nimekuwa nikikumbana na changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Anonymous
Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671. Katika zoezi hilo...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya...
2 Reactions
3 Replies
87 Views
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi...
2 Reactions
12 Replies
129 Views
Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Leo ni siku ya wafamasia duniani. Wataalamu hawa wa afya upande wa dawa ni wa muhimu sana. Kwa Tanzania hii ni sehemu muhimu ya huduma ya afya. Mtu akiumwa kwanza kabisa anakimbilia duka la dawa...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Anonymous (ac20)
Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
3 Reactions
22 Replies
257 Views
Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa...
1 Reactions
0 Replies
110 Views
Back
Top Bottom