Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,996
Reaction score
27,974
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!
1000016285.jpg

But why not this one!
1000016283.jpg
 
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!View attachment 3677330
But why not
jezi nzuri ndizo zinazocheza uwanjani?wakati wanaandi
Tangu lini BASHITE akawa ana akili??alichojaza ni hips tu lakini kichwani ZERO!!!kwa hiyo mipicha mingi kwa akili zako za KIBASHITE ndio unaona uzuri enh!!!jana tu Tanzania imefungwa Fainali U 20 na Sudan tena nyumbani Taifa,mnaacha kujadili maandalizi ya Timu na vitu serious Waziri mzima na mawowowo yake makubwa anajadili jezi.Hakika Knowledge Will Forever Govern Ignorance
 
Kwani ilishindikana nin kumwambia sandaland huyo huyo kuunda unazotaka we MAKONDA nyamitako?
Wivu, uchoyo, uchawi, uchawa, umalaya, kiherehere, uzandiki, roho mbaya, MUUAJI mkubwa wewe! ,2030 haufiki tunakufukia
 
Both angles should/ must be touched
Kufungwa ni sehemu ya michezo!
 
Kwani ilishindikana nin kumwambia sandaland huyo huyo kuunda unazotaka we MAKONDA nyamitako?
Wivu, uchoyo, uchawi, uchawa, umalaya, kiherehere, uzandiki, roho mbaya, MUUAJI mkubwa wewe! ,2030 haufiki tunakufukia
DUDU,uzi huu ni kwa maono mapana zaidi,lakini mbona tunakwenda siko?,kweli maisha ni vita kali,msikilize upya waziri makonda utamwelewa tu,kuna kikao walifanya February,kilikuwa na miongozo yote!..
#still makonda yupo sahihi sana!
 
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!View attachment 3677330
But why not this one!View attachment 3677331
FIFA competition rules strictly prohibit commercial sponsor advertising on player match jerseys and team uniforms during official matches

Hizo jersey labda wafanyie mazoezi. Vuta pichakuna mechi yoyote ya mashindano ya FIFA au CAF uliona jersey ya timu ina matangazo?
 
Back
Top Bottom