Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,138
- 4,027
Leo ni siku ya wafamasia duniani. Wataalamu hawa wa afya upande wa dawa ni wa muhimu sana. Kwa Tanzania hii ni sehemu muhimu ya huduma ya afya. Mtu akiumwa kwanza kabisa anakimbilia duka la dawa, na wengi wanaponea huko huko.
Duku duku langu ni kuwa, hawa wakiwa moja ya watu wa kwanza kwanza kuona wagonjwa wanatakiwa kuwa na ujuzi wa huduma ya kwanza(first aid). Huko vyuoni wafundishwe huduma ya kwanza ili waweze kuhudumia vyema wananchi.