Wako baadhi ya watu wanaoota ndoto wakiwa kifua wazi, wako peku, wako uchi kwenye ndoto
Ndoto zote hizo ni moja hatakama zinakuja tofauti-tofauti na tafsiri yake ni UMEFUNGWA NA ROHO YA...
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael Mwendapole (22), maarufu kwa jina la Juja wa Ubalozini amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa kisu katika tukio lililotokea kwenye nyumba moja ya...
WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA
MTWARA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani...
MTWARA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata...
Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali.
Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya...
Alafu koku lazima awe mweusi mrefu kiasi sio mnene ,ila natasha wengi wao ni weupe alafu wana makebo makubwa
koku ni wana maneno mengi saanaa, alafu natasha ni mabingwa wa vizinga
Habari za miaka kadhaa wakuu kwema ni mm fundi bishoo bishoo fundi napenda kuwajulisha kuwa mwakani nataka kujenga na kununua gari nashukuru pia nmeoa kwa sasa nina familia na pia na majukumu...
Tanzania inaelekea kuanzisha huduma za usafiri wa magari ya kamba (Cable Transport) baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuanzisha kitengo maalum kitakachosimamia na kudhibiti aina...
Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa...
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali inalenga kuifanya TBC kuwa chombo cha habari cha kimataifa, ili kuiwezesha dunia kufahamu mambo mbalimbali...
Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani.,
Mimi kama Binaadamu Ninayependa...
Mjane wa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Shinyanga, Mariam Mongi (86), ambaye ni mmoja wa wamiliki wa eneo lenye ukubwa wa ekari 10 lililopo Madale, Mtaa wa Scout, Wilaya ya Kinondoni, amesema...
W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa...
Lisu ni Icon
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
Lissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna...
Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi.
https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.