Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
0 Reactions
13 Replies
258 Views
😁
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Unakuta mtoto anatukana matusi kama mtu mzima Ukimuelekeza kitu haelewi, hakana adabu kajinga jinga tu halafu yuko na mzazi wake anachekelea that's not good Mzazi mfundishe mwanao maadili mema.
0 Reactions
0 Replies
37 Views
  • Poll Poll
Mijadara ni mingi hebu cheki hii
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ? Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa! Ajabu ni kwamba...
1 Reactions
27 Replies
444 Views
pambano la kutisha chini ya maji. 🌊 Honey badger anajulikana kwa ujasiri wake wa ajabu—mnyama ambaye ni vigumu kumtisha hata anapokabiliana na hatari kubwa. Lakini safari hii, anakutana na adui...
1 Reactions
3 Replies
104 Views
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba...
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Nawasalimu nyote. Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha. Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo...
3 Reactions
8 Replies
117 Views
Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni...
8 Reactions
42 Replies
545 Views
https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
1 Reactions
0 Replies
46 Views
https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
1 Reactions
0 Replies
36 Views
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana Utazika Furaha Yako Milele! Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka. Mnaishi kwenye...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Kuna watu wanatafuta hela kwa nguvu, lakini hela ikiingia tu inatafutwa starehe. Leo unakopa ili uonekane una maisha. Kesho unahangaika kutafuta hela ya kurejesha deni. Mzunguko unaanza tena...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Speak english only. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
126 Replies
7K Views
Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba...
2 Reactions
5 Replies
219 Views
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI . Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini...
24 Reactions
131 Replies
2K Views
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa)...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Jana usiku majira ya saa sita usiku kuna kijana wa kiume umri miaka 24 ni member mgeni akiwa na posts 9 tuu, alipost akitangaza kuwa yeye ni shoga na anatafuta basha. Kwa muda mfupi kabisa post...
45 Reactions
263 Replies
40K Views
Wako baadhi ya watu wanaoota ndoto wakiwa kifua wazi, wako peku, wako uchi kwenye ndoto Ndoto zote hizo ni moja hatakama zinakuja tofauti-tofauti na tafsiri yake ni UMEFUNGWA NA ROHO YA...
6 Reactions
15 Replies
214 Views
Back
Top Bottom