Habar za mda huu wadau mimi ni dalali wa vyumba viwanja frames hostels na ofisi nilianza rasmi 2024 sasa nimewaza nataka nijiweke kisasa naomba nitapataje kibali au leseni ya udalali nataka huu wa kawaida kwanza sio ule wa real estate process zake gharama zake nilikua naomba msaada mimi nipo kigamboni dar es salaam