A
Anonymous
Guest
Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda Zegereni.
Mtaa wa Sofu ulipimwa tangu tarehe 17/09/2015, lakini licha ya hilo, wananchi wanaendelea kuuziwa maeneo hayo na baadhi yao kuanza ujenzi.
Serikali ya Wilaya, Idara ya Mipango Miji na TANESCO wameendelea kukaa kimya huku wananchi wakitapeliwa na kujenga kwenye maeneo yaliyotengwa kwa matumizi ya umma.