"Hatutaki kumuona Rais Samia akiwa na Stress nenda ukamsaidie, Ndejembi Usifanye yale yaliyotufikisha hapa taifa linakutegemea na kila mtu anakutegemea nenda kamsaidie mama samia usiende kufanya...
Binafsi nimekuwa mtu ambaye niko so addicted na hizi vitu, huwa naondoka najipa break ila boredom inanirudiasha.
Sasa hii constant stimulation na addiction inafanya ujihisi accomplished kwa...
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi.
Jina hilo limewasilishwa kwa...
Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae)
Nitatoa mfano
Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza...
DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo...
Safari ya maisha ni kubwa kuliko malengo na ndoto zetu, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako...
Endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Qwaray, amesema Serikali inatoa uhamisho wa watumishi pale inapokuwa imejiridhisha kuwa bajeti ya...
Vuta picha mtu umepanga chumba,unalipa umeme,maji una mke na watoto tena wanasoma shule ya msingi au sec unawapa buku buku ya nauli kila siku ya shule na kazi yenyewe ni bodaboda ya bosi,saidia...
Kuanzia tu kwenye kusumbua watu na michango ya laki moja hadi kuanza kuishi kama mume na mke baada ya kuzoeana sasa kila mtu anaanza kuonesha rangi za kweli kuwa alikukubalia maana kwenu mna pesa...
Leo August 28 unafanyika mjadala wa Jukwaa la Demokrasia ambapo wadau mbalimbali watashiriki mjadala huo akiwe Anna Tibaijuka, Jaji Msatafu, Warioba, Jenerali Ulimwengu, Shekhe Ponda, Mwabukusi...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu...
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji.
Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine?
Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya...
Hapa JF kumekuwa na visa nyingi vya watu kuja na nyuz za kujikatia tamaa na wengi wao ni wanaume.hata hapa tanzania wanaume wanaongoza na viza vya kujiua.
Kwa kwel maisha ya mwanaume ni mateso...
Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao?
Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na...
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii...
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili...
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?
Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya...
Mtaani kwetu miaka ya nyuma kuna jamaa alikuwa mgonjwa, akapelekwa hospitali na ndugu zake akalazwa, baada ya siku kadhaa akafariki dunia na madaktari wakathibitisha amefariki wakawajuza ndugu...