Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe. Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa. Unammtoa mwanamke mzuri...
21 Reactions
85 Replies
1K Views
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania baada ya Dar. Ziwa Victoria (Nyanza) ni sehemu ya jiji hili, na ukiwa maeneo mengi ya jiji hili, unaweza kuliona ziwa kwa macho. Cha ajabu, licha ya ziwa...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa...
2 Reactions
54 Replies
744 Views
WAFANYAUSAFI wawili wa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa simu ya thamani ya Sh 450,000. - Washitakiwa...
7 Reactions
28 Replies
384 Views
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem. Tukio hili limetokea dar, kiwalani. vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson...
6 Reactions
61 Replies
568 Views
There shall not be a genuine reconciliation if personal gain exceeds national interest. The leading part must prove beyond reasonable doubt the good will of having reconciliation and under all...
1 Reactions
1 Replies
14 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22...
1 Reactions
12 Replies
299 Views
SIRI YA MACHO YAKO AMBAYO HAKUNA ALIYEWAHI KUKUAMBIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Haya nayo nikasema nisikufiche. Kwa sababu ninakupenda Sana. Nataka uwe kiumbe huru. Hii ikiwa ni zawadi...
9 Reactions
18 Replies
970 Views
Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Happy .....Sabbath.....!!! "Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?" Ayubu 31:1. Usifunue macho yako, kwenye jambo lolote linalokufanya utamani... Nimemaliza.
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Mgogoro kati ya Tanzania Assemblies of God (TAG) na Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) ulianza mwaka 1991 kufuatia mfarakano wa kiuongozi na kikatiba kati ya viongozi wakuu, ambapo...
1 Reactions
6 Replies
199 Views
Hoteli inauzwa White Sand Road 60 Rooms all en suite 2 Conference Halls Swimming pools 2 Big Restaurant Standby Generator Has more than 60 Employees Plot size: SQM 16,000 Document: Title Deed...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
Habari Wakuu, Nategemea kuwepo Mtwara mjini kwa wiki mbili kikazi. Naomba kujua lodge nzuri na safi hasa zenye internet kwa 30,000 - 40,000. Asanteni.
4 Reactions
76 Replies
1K Views
Kumekuwa na changamoto kubwa upande wa Azam Pesa pale mteja anapokosea muamala. Wanachukua muda mrefu sana kurejesha fedha. Ukiwapigia simu, unaweza kuambiwa: Leo ni weekend, hatufanyi kazi...
1 Reactions
5 Replies
41 Views
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya...
77 Reactions
254 Replies
64K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewakosoa wanaodai kuwa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni “white elephant” na kwamba hauna...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
All in all i wont stop to proud you, You’re good and best wife material We being without drama for a long time and our relation will be unbroken. Always I’ll never stop loving you...
5 Reactions
12 Replies
102 Views
Back
Top Bottom