Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi
Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili.
Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa...
Ni kinachojengwa Tanga kwa Sh tril 56 kusafisha mafuta.
Kampuni ya Mshauri Mwelekezi yakabidhiwa eneo la ujenzi.
Ni la kupokea, kuhifadhi, kusafirisha mafuta yaliyosafishwa.
Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye...
.
Saudi Arabia imekataa ombi la Israel la kutuma ndege za kijeshi (ndege za usafirishaji za C-130J) ili kuwachukua abiria baada ya ndege ya Flydubai kutua kwa dharura mjini Tabuk.
Nchi hizi...
Kiongozi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, anarudia makosa ya viongozi wa zamani wa nchi hiyo na Afrika kwa jumla, ambao raia waliamini ni wazalendo. Badala ya kujenga mifumo na taasisi...
Ukisikia neno uchumi je kichwani kwako unaelewa kitu gani? Wapo ambao watasema kuwa ni masuala ya fedha tu, wapo wataozungumza kuhusu uwepo wa shughuli ambazo zinahusisha mzunguko wa fedha katika...
Wapendwa,
https://samiaawards.tz/mshiriki/260013
Naomba support yenu kwa kunipigia kura kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,katika kipengele Cha Habari za MAZINGIRA,pia unaweza kusoma habari hizo...
UCHAWI NI NINI ?
Uchawi ni matumizi ya nguvu za ajabu au zisizoeleweka ili kufanikisha jambo fulani. Mara nyingi, huonekana kama uwezo wa mtu kufanya mambo yasiyo ya kawaida kwa njia za kisiri...
Kwa kuzingatia mabadiliko ya kiteknolojia, mifumo ya usajili ya NIDA inahitaji kuboreshwa kwa kutumia AI (Inteligensia ya Bandia) na usajili wa kidijitali. Hii ni njia bora ya kuleta huduma bora...
Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC.
Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na...
Habari Tanzania !.
Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
YAH: MALALAMIKO KUHUSU UENDESHAJI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA NALIKA NA KUSHINDWA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA...
Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba...
Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama...
Siku mbili zimekatika tangu nchi itikisike kwa sababu ya mgomo wa madereva wa mabasi katika mikoa mbalimbali nchini wakipinga kukatwa alama kwenye leseni zao wanapofanya makosa ya barabarani, sasa...
Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki.
Nilikuw mmoja wa watu hawo .
Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi .
Niko kazini, boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.