idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,249
Reaction score
11,924
Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
 
Waliotangulia Mbele Za Haki Ni Kubwa....⁉️
 
1790810376948.png
 
Idadi ya watu waliokufa ni kubwa zaidi kuliko idadi ya watu walio hai sasa duniani.

Wataalamu wa masuala ya idadi ya watu (demografia) kutoka mashirika kama vile Population Reference Bureau (PRB) wanakadiria kuwa:

• Waliokufa (Waliowahi kuishi): Takriban watu bilioni 117 wamezaliwa na kuishi duniani tangu mwanzo wa historia ya binadamu (miaka 190,000 iliyopita) hadi sasa.

Hii ina maana kwamba karibu watu bilioni 109 wameshafariki.

• Walio hai:
Hivi sasa duniani kuna jumla ya watu wapatao bilioni 8.2 tu.
Kwa hesabu hiyo, idadi ya watu waliokufa ni kubwa kwa karibu mara 13 zaidi ya idadi ya watu wote walio hai duniani leo
 
Ni wakati sasa wa kuwafufua hao watu ili tuishi pamoja, halafu tufungwe uzazi tusizaliane tena, watu billion 117 tunatoaha kabisa, hakuna kuongezeka tena.

Fanyeni namna hawa watu warudi tuendelee kulisongesha wakuu.
 
Kila nikikumbuka kuwa nitakufa tu siku moja...uwa naogopa sana kwa kweli.
Kama ulipozaliwa ulitoka ambako hukujui,kwa nini uogope kurudi huko ulikotokea kabla ya kuja hapa duniani?
huenda pakawa sehemu nzuri kuliko hapa duniani
 
Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
Kwa mujibu wa estimations waliokufa ni around 98B na walio hai ni around 8B.
 
Ili upate picha vzr ni kwamba miaka 100 ijayo almost 99.99999%ya sisi binadamu tutakuwa tumekufa
 
Ni wakati sasa wa kuwafufua hao watu ili tuishi pamoja, halafu tufungwe uzazi tusizaliane tena, watu billion 117 tunatoaha kabisa, hakuna kuongezeka tena.

Fanyeni namna hawa watu warudi tuendelee kulisongesha wakuu.
Kaanze kufukua makabul ya kwenu uwafufuwe
 
VAR

Back
Top Bottom