Serikali imetuletea vibwego kutoka madiba

Serikali haina muda wala haijali, Huwezi kukuta mwananchi wa US kafika bongo, akapata changamoto ya akili halafu wamuache tu pasipo kumfuatiliia na kumsaidia...

Ogopa sana Serikali inayoua raia wake na haijali, in short wananchi wanaonekana kama wanyama tu ama wadudu...
 
We US ulienda lini? Au US ya BUZA!
 
Back
Top Bottom