Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA 🙌

Lini tumepata Uhuru? Hadi leo barabara isijengwe na ndiyo Wilaya yenye Madini ya Tanzanite
Yani ukizunguka Simanjiro huwezi dhania ...kuna eneo linaitwa Lemshuko kunatoka madini ya green yanatajwa kuwa na Thamani Zaidi ya Tanzanite lakini hakuna hata barabara ya mfano , hakuna umeme 🙌🙌
 
Poleni
 
Inabidi muwe mnasema CCM OYEEEEEEEE Ndiyo itajengwa
 
Shida ya Simanjiro sio Pesa ya Barabara.Shida wote wanabeba Pesa wanaleta Arusha...Wanajitazama zaidi kama sehemu ya Mkoa wa Arusha kuliko Mkoa wa Manyara.Ukitaka kwenda Makao makuu ya Mkoa wao yaani Manyara inabidi ama upite arusha au upite Dodoma.Quality ya Wabunge wao na Raia wao nayo kuna wakati inasababisha wakwame zaidi
 
Back
Top Bottom