Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari mkopaji amekopa MAELEZO YA MKATABA WA MKOPO Huu ni mkataba wa mkopo kati ya kampuni ya mikopo midogo (mkopeshaji) na mkopaji binafsi, wenye kurasa 3. Mambo Makuu Kiasi cha mkopo...
4 Reactions
12 Replies
341 Views
Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope...
3 Reactions
8 Replies
220 Views
Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥 Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Anonymous
Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini. Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Habari wana jukwaa! Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma...
9 Reactions
87 Replies
695 Views
Anonymous
Natumia Mtandao wa Vodacom, leo asubuhi nilienda kutoa fedha Saa 4:00, ilipofika Saa 7:00 hivi, nilipigiwa simu na mtu aliyekuwa akitumia namba binafsi alijitambulisha kuwa ni mhudumu wa Vodacom...
5 Reactions
12 Replies
353 Views
Wakuu nimeshajaribu kurusha verse insta hollaaaa nipeni mbinu wazee wa town, bajeti yangu laki tatu cash wakuu hata kwa one night stand hata kuoa nipo tayari wakuu
6 Reactions
98 Replies
816 Views
HATUA YA KWANZA MAOMBI YA MWANZO Je mteja anaweza kuchukua fomu ofisi yeyote ya tanesco? Mteja anaweza kuchukua fomu ya maombi ya umeme katika ofisi yeyote ya shirika bila kujali kuwa eneo hilo...
48 Reactions
384 Replies
143K Views
Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed. Ni ngumu kujitoa...
11 Reactions
25 Replies
407 Views
KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo...
3 Reactions
29 Replies
295 Views
★ Asema mifumo ya utoaji huduma imedhibiti watu kati★ Akabidhi hati zaidi ya 800 za miliki za ardhi Mafinga Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
A Nigerian traveler’s viral social media remarks on his visit to the United Republic of Tanzania have sparked widespread discussion. Many attribute the exceptional peace and hospitality he...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Jiji la Nairobi na viunga vyake linachangia asilimia 41 ya GDP yote ya Kenya Kampala na viunga vyake, 60% ya GDP yote ya Uganda Kigali 40% ya GDP ya Rwanda Dar Es Salaam 19% ya GDP ya Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Mwanamke unapokuwa na mume wako sahau kama kazini unaitwa boss sijui unacheo wajibika kama mke. Wanawake waajiriwa wana viburi sana akiwa na cheo atataka mamlaka ya ofisini ayapeleke mpaka nyumbani.
8 Reactions
42 Replies
502 Views
Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyakagwe, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita, wameiomba Serikali kuingilia kati suala la kuondolewa katika eneo la uchimbaji, wakidai kuwa walilitambua na kuanza...
2 Reactions
29 Replies
331 Views
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia...
6 Reactions
17 Replies
185 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Back
Top Bottom