X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,943
- 16,999
Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama NSSF, RITA, TRA na police kupata huduma mtandani ni haraka na uhakika.
Changamoto ya NHIF selfservice ni vikwazo vya kuunganisha taarifa za NHIF na NIDA na bila kutatua hapa huwezi kuendelea na huduma yao yoyote, natoa ushauri NHIF waboreshe hii huduma, kama ni two factor verification kati ya NHIF na NIDA hii process haikupaswa kuwa ngumu hivi, walitatue hili kupunguza haja ya wanufahika kwenda kuunga foleni kwenye ofisi zao.