Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, unatafuta mwalimu bora, mwenye uzoefu na anayejali maendeleo ya mtoto wako ili aje kumfundisha akiwa nyumbani? 🏠📖 Elite Home Tuition Services ipo kwa ajili ya kuwasaidia wazazi kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
KILIMANJARO Timu ya mchezo wa Darts ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya SHIMIWI 2026 yanayoendelea mkoani Kilimanjaro, baada ya...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Kishoka cha kuvunjia au maarufu kama 'Crash Axe' ni kifaa cha dharura kinachowekwa ndani ya baadhi ya ndege kwa ajili ya kusaidia wahudumu wa ndege na marubani katika hali za dharura, hasa pale...
3 Reactions
8 Replies
157 Views
Hamjambo! Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo. JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako? Ni mumeo? Ni mkeo? Ni wazazi...
9 Reactions
25 Replies
281 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam iliwaka wakati vijana wenye vipaji mbalimbali walipokutana katika usaili wa Serengeti Lite Nyota Bigi Msimu wa Pili, wakipewa nafasi ya kuonyesha uwezo wao na...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Ataka Dotto Magari aachiwe kazi ya kumsafisha Samia Kenya. https://youtube.com/shorts/ON_WpZu8iGA?si=GzigTRdyde9LV3_4
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga Naandika kwa masikitiko makubwa sana , nimemskia mh wazir na mbunge wa Arusha mjini akidai kwamba anataka awajengee wana Arusha msikiti wenye thamani...
2 Reactions
12 Replies
174 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea...
1 Reactions
11 Replies
420 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi na uhamisho wa Mawaziri na Naibu Mawaziri, pamoja na mabadiliko ya miundo ya baadhi ya wizara...
3 Reactions
6 Replies
285 Views
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini. Masikini ya Mungu Huyu...
43 Reactions
909 Replies
115K Views
Umu JF nimetembelea majukwaa tofauti tofauti. Ila kuna kitu kimenishangaza sana Nimeona kuna mijadala ya UKATILI DHIDI YA WANAWAKE Ila nimeshangaa zaidi kuona hakuna jukwaa la[UKATILI DHIDI YA...
4 Reactions
12 Replies
102 Views
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia...
16 Reactions
337 Replies
15K Views
Kuna hatua katika maisha ambayo ukifika, unaacha kuelezea watu mipango yako na kuanza kuitekeleza kimyakimya. Si kila anayejua unachopanga anapaswa kujua unachokifanya, na si kila anayekuuliza...
3 Reactions
11 Replies
164 Views
Anonymous (9651)
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote...
2 Reactions
0 Replies
150 Views
Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu...
12 Reactions
49 Replies
508 Views
Dada wa marehemu mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili, aliyefariki dunia Novemba 16, 2025 jijini Dodoma, amesema kuwa siku ya jana baada ya...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyoonyesha hapo hii ni baada ya new updates kuwa sumbufu pia kama kuna app nyingine bora zaidi wasilisha ...weekend bila muvi ni michosho
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Back
Top Bottom