Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini,
Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA...
Wanufaika wa amani ni Watanzania wote. Wanufaika wa amani sio Serikali pekee yake. Wanufaika wa amani sio vyama vya siasa pekee yake. Wanufaika wa amani ni Watanzania wote
Dkt. Mwigulu Nchemba...
Nimetengeneza System inayorahisisha kazi zako za kanisa inapatikana hapa BUre Laravel
Kwasasa tupo na v1.0.0 Preview kwa mahitaji ya self hosting tuwasiliane lakini kwa matumizi ya kawaida...
Siku za karibuni nilipata fursa yakutembelea makaburi walipolazwa baadhi ya Wapendwa wangu pale jijini Arusha.Miongoni mwa mabadiliko niliyokutana nayo ni pamoja na ongezeko kubwa la Makaburi na...
Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya
Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) imekuwa ikifuatilia kwa karibu taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Katika taarifa yake ya tarehe 18 Agosti...
Mfano ukienda Moshi, Mbeya, Iringa, Arusha, Mwanza, n.k. sehemu hizo kuna presence kubwa ya makanisa na kuna maendeleo kuanzia elimu, afya, n.k.
Lakni ukienda sehemu zilizojaa waislam kama...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa...
#IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge.
Ni diplomasia.
Ni fursa za kiuchumi.
Ni utalii.
Ni utamaduni.
Na kwa Tanzania…
Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya...
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupatwa na ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi aendaye kwa jina la Tom...
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta pamoja na mke wake na watu wengine, alikuwa...
Serikali mnaona watu wanavyo uha?
Tanzania ya Nyerere sio hii ya leo,
Mbona mmewapa watanzania silaha wajane?
Nini kinaendelea?
Samia Samia watanzania wauana wts wrong?
Ninalazimika kuibua hoja nzito inayotia shaka kubwa kuhusu mfumo wa manunuzi unaotumika katika Shule ya Nyanza. Umekuwa ni utaratibu kuwa shule hutangaza zabuni kupitia mfumo wa NeST na kuzitoa...
Teknolojia kila siku watu wanasingizia AI wakisha kosea kwa hapa afrika.
Lile black box la ndege na kufanyiwa kwa nini lilitokea tatizo basi tuje hapa tuelewe.
Katika sehemu makini duniani ni...
Huenda Mimi tu ndyo nimegundua hili..? Tanzania kumekuwa na mfumuko Mkubwa wa bei kwenye nyumba na viwanja
Kumekuwa na mfumuko uliopelekea bei za nyumba kununua na kuuza kuwa kubwa kuliko...
Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto.
Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.