Ukatili dhidi ya wanawake//wanaume

Ukatili dhidi ya wanawake//wanaume

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
78
Reaction score
69
Umu JF nimetembelea majukwaa tofauti tofauti. Ila kuna kitu kimenishangaza sana

Nimeona kuna mijadala ya UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

Ila nimeshangaa zaidi kuona hakuna jukwaa la[UKATILI DHIDI YA MWANAUME]..
na ikumbykwe pia sisi wanaume tuna haki zetu pia.... maana unaweza ukamtumia nauli mwanamke aje kwako.

Na asije na nauli pia akala huo ni ukatili tayari alaf na bado wahandisi hawalioni hili...
Au wanaume wenzangu ili suala mnalionaje????

Maoni hapa chini👇👇👇👇 tunajadili🙏🙏
 
Hili nalo inabidi litengewe bajeti. Wazee wa balaza walijadili kwa kina....
 
Hapana. Nasisi wanaume tuna haki zetu. Nazo zizingatiwe....🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom