Mikopo ya 10% Wanawake na Vijana Kigamboni tumesainishwa mikataba tangu September lakini mpaka leo hatupewa fedha.
Sisi vikundi vya wanawake na vijana katika halmashauri ya wilaya ya Kigamboni...
NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE.
HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL...
Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi.
Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa.
Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga...
Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana
Naona mnakazana...
Sala na maombi hazijengi nchi. Hakuna nchi yoyote duniani ilijengwa kwa sala na maombi.
Wagwan! What's up! Was geht ab!
Economic comparison 👇
Americans: Let's Dominate
Chinese: Let's Produce...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameanza ziara mkoani Morogoro ya kukagua hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na mvua za El...
Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika...
TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia...
KASULU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameendelea na ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji ambapo ametembelea eneo la mradi wa kilimo cha miwa na uzalishaji...
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unakaa kimya, si kwa sababu huna cha kusema, bali kwa sababu umechoka kueleza unachopitia.
Unaamka asubuhi, lakini moyo hauna furaha. Unaendelea na siku...
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa wingi katika kliniki ya ardhi iliyofanyika mkoani humo, ambapo huduma mbalimbali za sekta ya ardhi zimetolewa, ikiwemo utoaji wa hati za miliki za ardhi...
Kwa kawaida kumekuwa na mitazamo hasi kuhusu uhuru wa mapenzi na ndoa.Hali hii imefanya waungwana wa KATAA NDOA wawe na wakati mgumu wanapokuwa wanaelezea facts zao kuhusu UPUUZI na UNYONYAJI...
Nipo Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Kishapu, ambako baadhi ya vijiji havina maji kabisa. Mfano ni Kijiji cha Kiloleli, ambapo wananchi wengi hununua ndoo moja ya maji kwa Sh1,500.
Hali ni mbaya...
Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.