Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa...
10 Reactions
71 Replies
566 Views
Can you really become a different person? Picture this: You tell someone you want to write for a living. They smile and say, “But you've never been a writer.” Suddenly, every blank page feels...
2 Reactions
1 Replies
132 Views
1: Uchawi na ushirikina 2: Madeni yasioisha 3: Wadada wenye makebo makubwa 4: Pombe, beer, spirits, matapu tapu 5: Tabia na hurka zako binafsi 6: Fitina na Kufanyiziwa 7: Kipato kidogo 8...
3 Reactions
21 Replies
266 Views
Hellow Great Thinkers... The LORD is good... (naomba elfu moja) Ni maneno ya jamaa alikuwa anaomba msaada wa 1k, baada ya kudai kuwa hana kitu cha kulisha familia yake anataka 1k ya mboga tu ila...
7 Reactions
11 Replies
270 Views
Ila mimi naye nimeshapitia mengi jamani😭 Wakati nipo chuo, sitasahau siku nilipomtaarifu dada yangu kwamba nina ujauzito. Wiki mbili baadaye tukagombana. Kama njia ya kunikomesha, akachukua zile...
4 Reactions
8 Replies
202 Views
Nimekaa nikafikiria, dunia tunakoelekea hakuna kurudi nyuma.Data ndo bidhaa mpya ndo OIL ndo kila kitu kwenye AI Kama wewe ni member wa JamiiForums, nguo hufui tena laundry wanakufulia ushachoka...
4 Reactions
11 Replies
200 Views
Winfrida au Jozina alikuwa akiishi eneo la Kwaoni Lungemba, lakini takribani miaka 14 iliyopita alihamia Kurasini, Dar es Salaam.
2 Reactions
14 Replies
198 Views
Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani...
1 Reactions
26 Replies
218 Views
Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii. Zingatieni muda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani.
1 Reactions
6 Replies
156 Views
Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi...
5 Reactions
21 Replies
406 Views
Anonymous
Barabara kutoka Mkuranga hadi Lindi imekuwa mbovu sana. TANROADS wamekuwa wakikata sehemu mbalimbali za barabara na kuziacha bila kutengeneza, hali iliyosababisha mashimo makubwa. Mbaya zaidi...
2 Reactions
12 Replies
276 Views
Huko Mwananyamala kuna kijana wa Kinyasa, mpaka sasa ameshawaua watu wanne kwa nyakati tofauti na mpaka sasa hajakamatwa. Ukiwa pande hizo hakikisha unatembea kwa tahadhari ya hali ya juu.
8 Reactions
46 Replies
909 Views
Ni rahisi kuishi na mtu ambaye unamjua / umemzoea hata kama ana tabia ngumu. Ndioomaana kuanzisha mahusiano mapya huja na changamoto mpya. Ni bora ukomae na mtu wako huyo huyo mliyezoeana unajua...
7 Reactions
27 Replies
303 Views
Wakuu, salamu kwenu wote. Nimekuwa nikitafakari jambo moja kuhusu jukwaa letu la JamiiForums. Hapa tunakutana watu wenye mitazamo, tabia, elimu na uzoefu tofauti. Kila mmoja ana namna yake ya...
1 Reactions
0 Replies
44 Views
Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu. Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima...
23 Reactions
191 Replies
3K Views
Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya...
1 Reactions
3 Replies
76 Views
Habari za muda huu wana JF. Kwanza kabisa, napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru wote ambao mlikuwa pamoja nami kwa namna moja au nyingine, wale walionishauri, walionikosoa na hata wale ambao...
8 Reactions
17 Replies
331 Views
Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku. Niende kwenye hoja. Mimi sikuwa mdau wa...
2 Reactions
15 Replies
308 Views
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa...
8 Reactions
56 Replies
616 Views
Back
Top Bottom