Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa...
3 Reactions
13 Replies
173 Views
Anonymous
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Habari wana JF Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani. Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye...
3 Reactions
9 Replies
114 Views
Tumsifu yesu kristu. Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa...
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake...
11 Reactions
181 Replies
17K Views
April 28 ya mwaka 1984 Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka pale Novemba 5 ya mwaka 1985 alipomaliza muda wake. Anabakia kuwa Mzanzibar pekee kuwahi kushika madaraka...
3 Reactions
7 Replies
86 Views
Salamu Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na...
5 Reactions
17 Replies
265 Views
Asee hili swala dunia ipige kelele. Ester Tomas, maarufufu nice b anasakwa na polisi akidaiwa kuhusika, alie katwa mapanga anaitwa baby love
9 Reactions
123 Replies
2K Views
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma...
4 Reactions
23 Replies
294 Views
Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa. Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view...
7 Reactions
29 Replies
293 Views
Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari? Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara? Haya bwana Waziri...
3 Reactions
8 Replies
141 Views
Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani...
30 Reactions
67 Replies
1K Views
Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake.. Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa...
7 Reactions
100 Replies
1K Views
Nini kinawafanya Wazaramo wawe wanaongea sana kwa muendelezo bila breki muda mrefu bila kuishiwa maneno kama vile Cherehani? Kuna Mzaramo introvert ?
8 Reactions
27 Replies
412 Views
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu. #Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
10 Reactions
88 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit). Kama unashida kama hii nakupa mambo haya utachagua utumie njia gani kujizuia...
5 Reactions
18 Replies
313 Views
Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje...
8 Reactions
43 Replies
429 Views
Ishawahi kunikuta hii Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu' Siku...
17 Reactions
43 Replies
719 Views
Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga. Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula...
15 Reactions
58 Replies
818 Views
Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
6 Reactions
18 Replies
191 Views
Back
Top Bottom